Black Legend
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 208
- 361
Badala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
Wanachama wake ni wajinga haswaBadala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwake??
Wanachama wake c ndo hawa hawa watumishi au?Wanachama wake ni wajinga haswa
Si ndiyo wajinga au huelewi?Wanachama wake c ndo hawa hawa watumishi au?
You look unconscious....Ulitaka waongee kama Lisu ili uridhike?😎
Kuna mawiliBadala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
Kama huwezi Kiingereza kwa nini unalazimisha wewe kilaza?You look unconscious....
Hahahahaha,,,,,no need to panic ,,,, kaa mbali na wakubwa.Kama huwezi Kiingereza kwa nini unalazimisha wewe kilaza?
Huna lolote kijana😂Hahahahaha,,,,,no need to panic ,,,, kaa mbali na wakubwa.