Hii tozo ya kuhamisha fedha ambayo sio ya Serikali ni justofiable?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali.
Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets 350 unapotuma elfu 10 yanayoenda kampuni ya simu ni justifiable???
kwa nini 350 na sio 100?

Tunarudi kwenu makampuni ya simu.
 
Kiulize chama chako cha ccm! Kina majibu yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…