Tswana14 Senior Member Apr 13, 2017 167 73 Jun 10, 2017 #1 hata Lesotho imetushinda sasa sijui T utamfunga nani kwenye kundi letu hii Timu bora ingevunjwa tukakaa hata miaka miwili tujipange maana kila siku hamna kitu au bora hata wale madogo Serengeti wangeshiriki yaani mchezaji hata kupiga Pasi mtihani
hata Lesotho imetushinda sasa sijui T utamfunga nani kwenye kundi letu hii Timu bora ingevunjwa tukakaa hata miaka miwili tujipange maana kila siku hamna kitu au bora hata wale madogo Serengeti wangeshiriki yaani mchezaji hata kupiga Pasi mtihani
usser JF-Expert Member Sep 25, 2015 13,901 13,870 Jun 10, 2017 #3 Mm hata nkiulizwa kweny Nchi yenu mnatim ya taifa Nasema hatuna
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,021 Jun 10, 2017 #5 Mwakyembe ndiyo analeta nuksi hapo