Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Baada ya hype ya kukaa Uturuki wiki zote zile. Baada ya kudajili wachezaji wengi wasio kuwa kwenye mapendekezo ya mchezaji i.e Miqquisone, binafsi nilitarajia makubwa sana. Hasa dhidi ya timu dhaifu kama Power Dynamo.

Ukiachana na kujaza uwanja kwa kiingilia cha sh 3,000 jambo lililo la kushangaza zaidi ni kucheza vibaya mno dhidi ya timu ya kiwango cha chini kama Power Dynamo.

Hivi najiuliza kama Mngecheza na Kaizer Chief si mngeharibu sherehe yenu? Si ajabu baadhi ya viongozi wenu walilifahamu hilo hata wakaamua kuchagua mpinzani wa aina ile.

Kiujumla kushinda kupo, lakini mmefeli kushinda kwa style. Timu imecheza pasi na kuwa na muungano wala utaratibu wa kifilosofia unao elezeka.

Almost 80% ya wachezaji walio sajiliwa hawakuperfom kulingana na marajio ya walio kuja uwanjani. Je ni timu hii ndio mnataka kushindana kwenye "Africa Super League"..?

Je hiko ndio kikosi ambacho mnatarajio kukitumia ili kutetea mataji yaliyotwaliwa na YANGA SC? Sijaona cha ajabu kwa kweli watani zangu.

Hakuna exceptional player ambaye amefanya la ajabu katika game ya leo..?

Hata aliyefunga goli la kwanza (Nimemsahau jina lake) hana technical attribute za kucheza mechi kubwa kama vs YANGA SC, in short he lacks phisicality (he so soft). Huyo aliyefunga la pili naye ni wale wale, haja Add lolote la kipekee kwenye squad yenu.

Nimemuangalia yule beki wenu Malone naye ni wakaida sana. Hana aattribute anayo mzidi BACCA.

Kimsingi mmenichekesha zaidi mlipo achana na Beno alafu mkasajili Abel.

Aubin Kramo kama anashindwa kuperfoma kwenye game za mpinzani wa aina hii basi sitoweza kumtofautisha yeye na Crispin NGUSHI.

Kiufupi hakuna mchezaji ambaye amemzidi MAXI ZENGELI perfomance-wise.

Ni ngumu sana kuwaona/kutarajia kama mtatoa ushindani dhidi ya Yanga SC katika msimu 2023/24.
20230806_205103.jpg
 
Mi Simba lkn sijalidhishwa na team, tumecheza na team ya kiwango Cha chinii Sanaa! Jamaa hata Mbeya city wanawafunga tu. Miq tumepigwa kashapata ela zake Hana pressure na maisha ya soka anacheza kawaida sana,onana anawahi kukata motoo.

Mziki wa Azam na Yanga hatuuweziii. Chamaa kichwa kimejaa sifaa anajua lkn Hana msaada tenaaa. Tulipo pata mtu ni yule Bekii Jamaa ametuliaa!!
 
Baada ya hype ya kukaa Uturuki wiki zote zile. Baada ya kudajili wachezaji wengi wasio kuwa kwenye mapendekezo ya mchezaji i.e Miqquisone, binafsi nilitarajia makubwa sana. Hasa dhidi ya timu dhaifu kama Power Dynamo.

Ukiachana na kujaza uwanja kwa kiingilia cha sh 3,000 jambo lililo la kushangaza zaidi ni kucheza vibaya mno dhidi ya timu ya kiwango cha chini kama Power Dynamo.

Hivi najiuliza kama Mngecheza na Kaizer Chief si mngeharibu sherehe yenu? Si ajabu baadhi ya viongozi wenu walilifahamu hilo hata wakaamua kuchagua mpinzani wa aina ile.

Kiujumla kushinda kupo, lakini mmefeli kushinda kwa style. Timu imecheza pasi na kuwa na muungano wala utaratibu wa kifilosofia unao elezeka.

Almost 80% ya wachezaji walio sajiliwa hawakuperfom kulingana na marajio ya walio kuja uwanjani. Je ni timu hii ndio mnataka kushindana kwenye "Africa Super League"..?

Je hiko ndio kikosi ambacho mnatarajio kukitumia ili kutetea mataji yaliyotwaliwa na YANGA SC? Sijaona cha ajabu kwa kweli watani zangu.

Hakuna exceptional player ambaye amefanya la ajabu katika game ya leo..?

Hata aliyefunga goli la kwanza (Nimemsahau jina lake) hana technical attribute za kucheza mechi kubwa kama vs YANGA SC, in short he lacks phisicality (he so soft). Huyo aliyefunga la pili naye ni wale wale, haja Add lolote la kipekee kwenye squad yenu.

Nimemuangalia yule beki wenu Malone naye ni wakaida sana. Hana aattribute anayo mzidi BACCA.

Kimsingi mmenichekesha zaidi mlipo achana na Beno alafu mkasajili Abel.

Aubin Kramo kama anashindwa kuperfoma kwenye game za mpinzani wa aina hii basi sitoweza kumtofautisha yeye na Crispin NGUSHI.

Kiufupi hakuna mchezaji ambaye amemzidi MAXI ZENGELI perfomance-wise.

Ni ngumu sana kuwaona/kutarajia kama mtatoa ushindani dhidi ya Yanga SC katika msimu 2023/24.View attachment 2710346
Mkuu nilidhani mimi pekee ndio sijui kuutazama mpira kiufundi but na wewe kumbe umekiona nilichokiona mimi, Awa jamaa wanayo kazi ya kufanya kumpokonya yanga ubingwa, kimsingi yanga ataendelea kutetea ubingwa wake Kama kawa sijaona kabisa timu ya kumzuia kwa hiki nilichokishuhudia leo otherwise wabadilike vinginevyo wanawe mikono
 
Back
Top Bottom