Simba tunataka kurudia kosa lile lile

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Msimu uliopita tumekuwa na timu iliyofanya vzr sana.

Tumepoteza mechi moja tu
Tumeruhusu magoli machache zaid ya yoyote.

Tumefunga magoli mengi zaid ya yoyote.

Tumekuwa bora sana bahati mbaya mpinzani wetu alikuwa zaid ya bora( yanga ya msimu uliopita ilivuka ubora wa kawaida unaotakiwa ndio maana hatukuambulia chochote.

Forwad yetu ilikuwa vzr sana
Beki zetu pia zimekuwa vzr sana.

Shida yetu Simba imekuwa kiungo mzuiaji tu na limekuwa tatizo sugu kwa muda sasa (angalau Kipind cha Lwanga alijitahid ndo maana ukiangalia ule msimu tulifungwa magoli machache sana hata mashindano ya kimataifa)

Tunaposeama kiungo mzuiaji hatumaanishi Kanoute au Mzamiru NO wale ni no 8 sio 6 me nataka tuwe na 6 halisi 6 ambaye hana tamaa ya kushambulia akiwa uwanjan jukum lake ni kuhakikisha mabeki hawafikiwi kirahisi (hii itatupunguzia makosa ya mabeki sana)

Kukosekana kwa kiungo mkabaji kumepelekea mabeki wawe wanafikiwa kirahisi

Angalia mpk nje team kubwa imebid zitafute utaratibu wa kuweka viungo wakabaji wawili kwa sababu wanajua umuhim wake.

Man city inakuwa na Rodr na bado Stone anasogezwa kucheza sita ili kuwepo na 6 wawili.

Arsenal pia wanampabga yule Mghana na Xhaka

Hii inaonesha umuhim wa kuwa na kiungo mkabaji halisi

Kanoute na Mzamiru wote wawili ni no 8 ingawa wamekuwa wakojitahid but ukweli tunahitaji no 6 halisi

La pili usajili

Jaman kwa ninavyoona kuna uwezekano wa kuacha wachezaji zaid ya 10 na nafasi zao ni lazima zijzwe maana team lazima iwe na wachezaji 25 hivyo tunafurahia wale kuachwa but tusisahau itabid nafasi zao zijazwe

Sasa najaribu kuwaza lets say tulikuwa na budget ya usajir ya bil 2.5 iv
Tusingekuwa na hii thank you thank you manake tungeweza hiyo 2.5 kuiwekeza kwa wachezaji wachache na tukapata bora.

Em assume ukaweka kupata wachezaji wa nje wanne na kila mmoja ukatoa mil 500 am sure utapata watu bora sana.

But sababu tu a mapengo ya wachezaji 10 ya kuziba itabid 2b uigawe uanze kwanza kuziba mapengo yaliyobaki ili wachezaji watimie 25 atlast utaishia wachezaji wa nje kuchukua wa 100k-250k tu ambao mnajua ubora wao unakujaga kuwa wasawadogo inaboa sanaaa

Mwisho Try again anamuuza Moo na anatuuza Simba.

Unapata mchezaji bora sana ambaye hata huulizi ubora wake unaombwa 500m unakataa unasema ni nyingi then unaenda unanunua Sawadogo kwa 250 na kumpa mkataba wa miaka mitatau sababu unapenda mteremko then baada ya miez sita unagundua umeingia cha kike inabid uvunje mkataba na utapappswa kumlipa mshahara wake wa muda wote uliobaki ili uvunje mkataba.

Sasa si yale yale bora ungetoa 500 ukapata bora?

Mwisho nasikia tunachukua kipa hatujawah hata kumuona jaman jaman dunian kuna ujinga sana
Iv kweli mwaka jana tulichofangwa na kocha kuletewa Watara na Mzungu bado tunarudia kosa kumruhusu kocha akalete Mbrazil mwenzake?

Halaf sasa bora Manura angekuwepo tuseme huyo anakuja kupambania nafasi na Manura so hata akiwa mbovu haina shida tutavumilia miez sita tumuache.

Shida Manura hayupo miez minne so anayekuja atapaswa awe kipa no 1 moja kwa moja! Sasa Mungu wangu ikatokea kocha ametuuza(maana mchezaji aliyecheza team ya taifa ya vijana alipaswa sahiz awe mbali ila ndo anazid kushuka daraja la chini anakuwaje bora)
Manake huyo kipa akiwa mbovu itabid Salim ndo adake mpk Manura akirud

Nb: Kama kuna kiongozi wa Simba atasoma hapa tafadhali fanyen yote ila sajirin no 6 na pia msichukue huyo kipa tafadhalini sanaaa jaman! Sehem ya kipa ni senstive sana tusifanye kujarb pls pls tafuten kipa ambaye ameshaonwa maana direct anakuja kuwa kipa no 1

Ni mawazo yangu tu
 
Usemacho ni kweli. Angalia mechi zetu mbili na Raja ambayo Nyoni alicheza..jamaa walikuwa wanapita hapo hapo huku yeye akikabia macho. Akijitahidi sana ilikuwa ni mipira ya juu. Kanoute at least hujaribu kukaba ila tatizo lake akijaribu huishia kupata KADI.

Cha msingi tutafute wacheza.
 
Kwahiyo unataka kuchukua wachezaji uliowaona wakicheza Tanzania wakina kabwili na wakina metacha mnata?mwili nyumba akili kisoda

Hapa Africa kuna makipa kibao ambao tumewaona wanadaka
Kipa wa Asec/Vipers/Al hilal/ yule wa ule tim ya south iliyocheza na Yanga

Nafasi ya kipa ni eneo sensitive tena ikizingatiwa Manura hayupo so kwenda kujibebea mtu huko hatumjui wala hajawah kuonekana kisa ni pendekezo la kipa yatakuwa yale yale ya Maksimo na Jaja analeta ndg yake
 
Mdogo wangu GENTAMYCINE, ambaye ni shabiki mwenzenu lia lia amemuomba mhindi bilioni 3 tu ili akamsajilie majembe ya uhakika! Mpaka muda huu naona mhindi katia ngumu. Bila shaka Try Again amemshika masikio.

Shauri zenu. Mkifanya tena usajili wa mihemko, makombe yote msimu ujao yanaenda tena Jangwani kwa mara ya tatu mfululizo. Mpeni mdogo wangu Popoma hizo bilioni 3 tu ili aibadilishe kabisa timu yenu.
 
Mdogo wangu GENTAMYCINE, ambaye ni shabiki mwenzenu lia lia amemuomba mhindi bilioni 3 tu ili akamsajilie majembe ya uhakika! Mpaka muda huu naona mhindi katia ngumu. Bila shaka Try Again amemshika masikio.

Shauri zenu. Mkifanya tena usajili wa mihemko, makombe yote msimu ujao yanaenda tena Jangwani kwa mara ya tatu mfululizo. Mpeni mdogo wangu Popoma hizo bilioni 3 tu ili aibadilishe kabisa timu yenu.
Tusije tukalaumiana
 
Kiungo mkabaji tatizo sugu,tangia awe Matola na Lwanga Simba imepata taabu sana eneo hilo.

Waache wapuyange,Kakolanya ni kipa mzuri na Aishi yupo ni kipa mzuri Salim Ally nae sio mbaya sana, nini tena kwenda kujaribu mtu ambae hatujui kama atafanya vizuri au lah!
 
Mdogo wangu GENTAMYCINE, ambaye ni shabiki mwenzenu lia lia amemuomba mhindi bilioni 3 tu ili akamsajilie majembe ya uhakika! Mpaka muda huu naona mhindi katia ngumu. Bila shaka Try Again amemshika masikio.

Shauri zenu. Mkifanya tena usajili wa mihemko, makombe yote msimu ujao yanaenda tena Jangwani kwa mara ya tatu mfululizo. Mpeni mdogo wangu Popoma hizo bilioni 3 tu ili aibadilishe kabisa timu yenu.
Simba ni kikundi cha wahuni tu, bajeti ya Yanga msimu ujao ni Billion 20 na haijapata hasara, lakini Mwamedi kauziwa Simba kwa maandishi kwa Billion 20 siyo cash na bado anawadanganya anapata hasara.
 
Simba ni kikundi cha wahuni tu, bajeti ya Yanga msimu ujao ni Billion 20 na haijapata hasara, lakini Mwamedi kauziwa Simba kwa maandishi kwa Billion 20 siyo cash na bado anawadanganya anapata hasara.
Hivi ni kwa nn mtu akiwa yanga anakosa akili? Yaan timu haina hasara wakati inadaiwa 4.8 bilioni, hivi Mauzo ya jezi kwa timu kubwa kama yanga ni m 300 kweli?
 
Kumuachia Kakolonya kuandoka ulikuwa uamuzi mbovu, wangempa mkataba mzuri abaki kwa sababu pesa wanayo enda kuilipa kwa kumleta kipa foreigner itakuwa zaidi ya alicho omba Kakolanya. Maamuzi yamefanyika ya roho mbaya na kukomoana, typical roho za kitz.
Timu zetu roho mbaya, kuona mchezaji atafaidi. Ila wa kigeni atapewa.
 
Back
Top Bottom