Hii talent sijawahi kuiona duniani

Hii talent sijawahi kuiona duniani

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,866
Reaction score
19,253
Nikiwa mpenzi sana wa mambo yenye utifauti nikiri wazi this boy took by breath away ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ninachojivunia utanzania ni kwamba Tanzania will never stop to amaze you.

Hawa ni watoto wa uswahilini Tanzania, watoto wa kwenye slums Kenya ni wavuta gundi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kweli hii ni only in Tanzania....kuna kipimbi flani wakaw ....waulizia uwezo na utundu watundu wa pikipiki Tz
 
Kweli hii ni only in Tanzania....kuna kipimbi flani wakaw ....waulizia uwezo na utundu watundu wa pikipiki Tz
Hahahaha wakenya ndivyo walivyo, ulimbukeni yaani kitu wanachokiona cha ajabu kwao haijalishi how dummy it's wao automatically wanachukulia ukanda huu wote Hakuna mwengine

Ndio hiyo hiyo mentality wamekua nayo kwamba wao ni bora kuliko yeyote matokeo yake wakifika Tanzania wanaishia kuonekana kama vichekesho.
 
Nikiwa mpenzi sana wa mambo yenye utifauti nikiri wazi this boy took by breath away ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ninachojivunia utanzania ni kwamba Tanzania will never stop to amaze you.

Hawa ni watoto wa uswahilini Tanzania, watoto wa kwenye slums Kenya ni wavuta gundi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mods toeni uzi huu. Hauna uhusiano wowote na Kenya.
 
Back
Top Bottom