Inavyoelekea Dr. Edward Hosea ameamua kuwa mtiifu kwa Mh. Lowasa kwa hivisasa.
Huko tabora mwenyekiti wa ccm wilaya bw. Moshi konkota akamatwa na pccb akitoa rushwa ili mwakasaka ashinde.
Sio hivi sasa, huyu ni kambi yake, hata cheo alikipata kwa influence yake!Hii ni sabotage, ccm and the President have to act!Haiwezekani tuhuma bila hata ushahidi unaita vyombo vya habari, huku ni kuchafua image ya CCM!Inavyoelekea Dr. Edward Hosea ameamua kuwa mtiifu kwa Mh. Lowasa kwa hivisasa.
Ndo ajipange sasa manake dalili za mvua ni mawingu; wakati akiwa kule na jamaa zake wanahimiza wagombea kibao wajitokeze hakustukia drafti lilokuwa linapangwa kuila kingi yake ajue kabisa hilo ni drafti jingine na safari hii kingi ikiliwa ndio baibaiiiiiHawa ccm wameshaona Watanzania Mazuzu, yaani wanatumia Taasisi hii kujipanga ili kuharibu mpango Mzima, hivi Nape kuna mtu mwenye jeuri ya kumkamata na kumuhoji eti mambo ya Rushwa.
Wamechelewa sana, huyu wangemkwatua akiwa kule, huku hakuna mchezo wa Rushwa. Ni Watanzania tu walishaamua kuamua ya kwao.
Nani kakwambia joka la kibisa lina madhara?
Kwa hiyo we ndo umeona serikali imefanya kazi..? Orodhesha watatu tu ambao wapo mahakamani, kama hujakuta wako uraiani na wanaendelea na porojo zao uchaguzi waliopita asilimia kubwa ni kwa rushwa... Acha kutufumba macho.. Hata kwa maskio tunaskia.. Nitajaie hapo angalau watatu nijue, kwa maana tunaskia hata akina nape, mwigulu na wengeni wengi wamepita kwa goli la mkono...! Acha kutumika hasa nyakati hizi za uchaguzi.. Bila mifao hai we ni mlumumba