Hii tabia ya wavulana ikome

Mkuu Nakapanya watu wengi sana siku hizi hawana akili timamu hasa wanawake ndiyo maana yote haya yanatokea. chukua like yangu kwa post nzuri. udhalilishaji ni udhalilishaji tu hata kama wewe si mwathirika wa huo udhalilishaji.

Thanx mkuu,tulikemee na hili
 
..duh!!! we kijana wa zamani, wa leo hawajui k.u.d.i.n.y.a.
 
mm.kuna demu.niliingia nae getto yeye.mwenyewe akataka nichukue video mm.sikuweza kukataa nkachukua kila kitu nkamruxhia kwenye simu yake kwangu nkafuta but sura yangu.sikuichukua nilichukua yake tu na mchezo mzima nilitega vizur camera now yupo America chuo sasa xijui.ndio ile video ni.kwa ajil ya kujikumbuxhia au vip
 

kama kawaida mm ntaendelea kuwapiga picha na kuwa rekodi nani anawambia watoe papuchi???
 

wanaume wengine hupenda akupige au achukue video ukiwa uchi hii kitu ndo huwa napinga siku zote na siwezi ruhusu huu upuzi..wee kaa niangaliee weeee mpaka uchoke nigegede wee mpaka uridhike nigeuze utakavo mpaka hamu iishe but ukishika simu tu nakua mkali kama mbogo
 
Asilimia 90% za hizo video zinachukuliwa hao wahusika wakiwa wanajua na wana kubali kabisa.

Hivyo muda mwingine wasichana mpunguze ujinga vichwani mwenu maana hakuna mwanaume anaweza kukurecord hivyo halafu baadae akakuoa! Poleni sana!
 
Si umretaka meenyeo kuchukuliwa, usipotaka hatokuchukua
 

Hahahaha ni kweli lkn siamin kama picha hizo zinaongeza chachu ya penzi au kuhamasisha
 
nilishawahi rekod moja college kwa matumizi binafsi hata mwanamke hajui mpaka kesho.
kurekod sio dhambi inategemea unahitaji kwa matumizi gani.
 
Na ifikie wakati kina dada/ mama wawe na msimamo ,,,,,,,, ukihisi kurekodiwa katisha utamu vunja simu au futa hiyo video immediately
Hata hivyo,hotel nyingi na zile lodge kalikali hapa mjini,wamefunga camera maalumu za kurecord matukio yote yanayofanyika chumbani. Na baadae baadhi zinatengenezwa DVD na kuuzwa mitaani. Hapa suluhisho ni kuachana na umalaya ili kuepuka fedheha! Ukijiachia ipo siku utanunua CD yako.
 
Hahahaha ni kweli lkn siamin kama picha hizo zinaongeza chachu ya penzi au kuhamasisha

yani hapana penda io kabisa siku ya siku mmetibuana utajutra kumfahamu anazianika utatamani ujichimbie chini
 
hizi simu za kisasa zimeleta mambo acha kabisa
Na haya mambo yanayokea kwenye kizazi kama hiki ambacjo hakina malezi yaani kiko kama kondoo tuJitu linamrekodi mwenzake sijui kwa faida ya nani?Huu wehu sijui mwisho wake lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…