Hii tabia ya wabunge kupiga mayoe hovyo na wengine kutoka nje linanikera sana

Jyhamah Juma

Senior Member
Mar 2, 2014
162
77
Inafikia mahali nakuwa mkiwa maana sina pa kukimbilia maana nchi za magharibi haziishi ugomvi,afrika tu hapa majanga+na afrika mashariki ukigusa Kenya tu alshaabab,Rwanda ndo huyo jamaa kaongezewa time,Burundi ndo haelewi kabisa!!huyu wa Uganda ndo kotapini inaingizwa kwa nguvu kuitoa nguvu.

Ko Najikuta nabaki na Nchi yangu ambayo ni afadhali majanga ya kutoana roho mchana kweupe na usiku gizani bila kosa hamna!!!Sana Sana ukizingua unakaushwa kimyakimya kwa ndumba!!!

Hata baba na mama wana utani lakini wakiwa kwenye kakikao kadogo na watoto wao wanakuwaga serious kidogo!!!!sasa inakuwaje Tanzania kama baba na mama yetu anachezewa kiasi hiki?Wabunge mnaomba kura kwa unyenyekevu nasi tunawapa kura tukijua mnaenda kutuwakilisha kwa makini na maarifa ya khali ya juu!!!

Sa inakuwaje kila mwaka mzomeane?
sa inakuwaje kila Mwezi mzinguane?
Sa inakuwaje kila dakika ni wapinzani?

Ni kwanini msiwe kitu kimoja?
Ni knini mswke maslahi ya nchi mbele?
Nini kwanini msiwe na huruma na cc?

Mnaotoka nje toka bunge LA 9,10,na Leo 11 tunajua na tunawaona na cc wananchi tunajua ni nani yuko sawa na ni nani hayuko sawa kikatiba,kisheria,kibinadamu,kiquran na kibiblia!!!Mnashindwa nini kuvumilia?Hivi mnadhani hatuwatazami?hatuwasikilizi maredioni?ukiona unaonewa subiri jambo LA pili,LA tatu LA nne najua kufikia jambo latano anaekunyima haki yako atakupa tu,xa isiwe umenyimwa haki unatoka nje No kuweni na subira nyerere nchi hii hakuipatia uhuru kwa kuomba Mara moja kumbukeni Maji maji war1905-07,Kumbukeni kina chief mkwawa,mangungo wa msovero nk tumewapoteza ndo baadae tukawa huru kwanini ninyi?acheni hiyo tabia

Haya na hii zomeazomea ambayo haina chama wala upande wowote wa siasa Bali ni Wabunge wote wa upinzani na chama tawala embu niwahoji haya makelele ni yanini?ukiona mtu mzima bungeni katumwa na wananchi wake laki 7 au milioni 1½ anafanya ujinga bungeni nyamaza subiri uchaguzi mkuu atawajibishwa na wananchi na wewe utakuwa shahidi wa ujinga wake xa yanini na wewe usahau watu wako?Niwape mfano mmja wenye swali

Je ukiwa na wanao sita au wawili wako boarding ya private schools unasomesha kila wakifunga kufungua lazima utoe 1.5milioni and then mwisho wa siku unasikia huwa hawafiki shule na bahati mbaya umegundua wako form 3 na ushapoteza mamilioni Hivi utajiskiaje?utawafanya nini hawa watoto?Jibu mnalo

Nachowaomba kwa niaba ya wenzagu wanaokereka na upigaji kelele wenu bungeni hasa zomea zomea,toka toka nje na washa washa mic zimazima acheni tabia hii nakuombeni mtuwakilishe vyema!!mnatukera xana.

SINA CHAMA NA SIJAEGEMEA UPANDE WOWOTE!!!! ILA TU NASHUKRU NIMETOA YA MOYONI

NB,situkani na sijasema muda wote ni kelele LA ashaaah najua na ninatambua kuna wakati mnakuwa serious ila ndo hivyo mgema akisifiwa tembo ulitia maji,Mapishi mengi uharibu mchuzo xo msisahau mchumia juani ulia kivulini na mvulivu hula mbivu na mlalapo imbeni Ganda LA muwa LA Jana........malizieni!!!!
 
Ama wewe ni mzalendo na una hasira kweli na nchi yako, na kwa kuwa uko neutral huna chama kwanini wakisha ingia usiende na makufuli ukawa fungia wakome kutoka?
 
"...+na afrika mashariki ukigusa Kenya tu alshaabab,Rwanda ndo huyo jamaa kaongezewa time,Burundi ndo haelewi kabisa!!huyu wa Uganda ndo kotapini inaingizwa kwa nguvu kuitoa nguvu.

Mkuu naona kama umesahau kuitaja Zanzibar katika hio list yako hapo juu! Ila nashukuru ya kwamba tayari umejiwekea kinga hii "SINA CHAMA NA SIJAEGEMEA UPANDE WOWOTE!!!! ILA TU NASHUKRU NIMETOA YA MOYONI.
 
Back
Top Bottom