Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
amezaaje mkuu?
tofautisha kuishi na mume na kukutana na mwanaume kimwili.fikiri kidogo kabla ya ku-type!
amezaaje mkuu?
mwanamke anayeishi bila mume mara nyingi anakuwa na hulka za ajabu ajabu tu, hizo zote ni kukosa mume
S.A.S ndo nani mkuu? hapo umeniacha
kumbe hana mume?
mkuu mhalisi. as far as i know SAS ni shirika la ndege la nchi za scandinavia, ie, scandinavian airline system. au vp nielewesheni wadau! tehe.
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........
Hii kauli ;kaaa chiniii

hiyo ni defensive mechanism anamapungufu fulan so anatumia mbinu hiyo ili kuficha udhaifu wake
kule kwetu wanaitwa wasimbe.....Amezaaje mkuu?
Kukosa mume na kutowahi kuzaa husababisha ugonjwa fulani kisaikolojia unakuwa na 'kichaa' fulani cha kisaikolojia...watafiti wa saikolojia watatuhabarisha zaidi ila habari ndio hiyo!!
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........
Hii kauli ;kaaa chiniii
mwanamke anayeishi bila mume mara nyingi anakuwa na hulka za ajabu ajabu tu, hizo zote ni kukosa mume
Mkuu huyo mama kawekwa pale kama stop gap au polisi wa CCM bungeni kujitahidi kudhibiti hoja zenye nguvu bungeni ili waendelee kula kuku zao bila bugudha!!! Kweli kama bunge lililo makini litakubali vipi watu waendelee kufa mahospitali, shule zetu zizalishe vilaza serikali ishindwe kuwajibishwa nabunge!!! Tena Mhe Raisi atangaze eti watu waendelee kufa kwa maana serkali haina fedha, yeye kawekwa kwenye madaraka na nani, kazi yake nini kama sio kutafuta solution ili Watanzania waendelee kuishi ingawa kwa raha kidogo!!!Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........
Hii kauli ;kaaa chiniii
Huyu mama ana bahati mbaya kawekwa in between kama ukuta au ngome ya kukinga upepo ua dhoruba kuingia, yeye ni kinga hivyo yeye na kampuni yake ni kulinda maslahi ya wakubwa!!! Kwa yeyote aliye kinyume na maslahi ya walaji wa CCM na serikali yake huyo kwake ni adui atapambana naye hadi kieleweke!!!Wakuu achaneni na hiyo habari ya kuwa au kutokuwa na mume. Hayo ni maisha binafsi ya mtu na zaidi ya hapo huyo ni mama tujaribu kumpa heshima yake kama mama. Tujadili utendaji wake kama kiongozi kwani kwa kufanya hivyo kuna watakao jifunza kutokana na makosa yake ili wao waje wafanye vizuri zaidi.
Binafsi sipendi anavyoliendesha bunge kwa mabavu, uonevu kwa upinzani na upendeleo wa wazi kwa magamba lakini watu wakiaanza kukashfu kuhusu maisha yake binafsi huwa najisikia vibaya sana. SIYAPENDI MAGAMBA LAKINI SIPENDI ZAIDI KUTUKANA/KUKASHFU WATU KATIKA MAMBO BINAFSI.
Huyu mama ana bahati mbaya kawekwa in between kama ukuta au ngome ya kukinga upepo ua dhoruba kuingia, yeye ni kinga hivyo yeye na kampuni yake ni kulinda maslahi ya wakubwa!!! Kwa yeyote aliye kinyume na maslahi ya walaji wa CCM na serikali yake huyo kwake ni adui atapambana naye hadi kieleweke!!!
hii kitu ni kweli na sio vizuri kuingilia masuala binafsi lakini wengi wanasema ishara ya uongozi (external/internal) inaanzia ngazi ya familia. Na kwa kipimo hicho ndipo mtu anasogea mpaka uongozi wa jamii/umma, si ajabu nchi zilizo staarabika suala la historia ya familia ya mtu lina nafasi kubwa sana.Wakuu achaneni na hiyo habari ya kuwa au kutokuwa na mume. Hayo ni maisha binafsi ya mtu na zaidi ya hapo huyo ni mama tujaribu kumpa heshima yake kama mama. Tujadili utendaji wake kama kiongozi kwani kwa kufanya hivyo kuna watakao jifunza kutokana na makosa yake ili wao waje wafanye vizuri zaidi.