Hii tabia ya NIDA siiekwi mimi

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Unaambiwa Kupata Namba ya Kitambulisho chako Piga *152*00# chagua3, chagua2, ingiza majina matatu, namba ya simu uliyojaza kwenye fomu, Bonyeza Kubali. Vinginevyo fika NIDA

gharama za kuangalia namba za kitambulisho chako ni Tsh100. unapiga arafu wanaipitia hiyo Tsh100 pasipo majibu yanayo ridhisha(usajiri wako haujakamilika) na wakati huo nilijisajiri.

sasa hua najiuliza kwa waTz wote(zaid ya milioni40 wenye cn) tukikatwaa hizi Tsh100 pasipo majibu ya kueleweka ni kama pesa nyingi sana tunaibiwa?
 
Huu ni wizi, Kibaya zaidi unakuta Hizi Pesa zimeingia mikoni mwa mtu. Utasikia gharama ya kuweka nembo ya NIDA milioni 500
 
Back
Top Bottom