Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

Mleta mada uwe makini na ushauri unaopewa hapa, wakati mwingine hilo ni jambo la kawaida kama ametoka kula na umemlalia juu ni lazima ajambe ila kama inamtokea kila mara basi mpeleke hospitali, utaanza kumuwazia mabaya binti wa watu kumbe siyo. Tumia akili yako binafsi
 

..............mtie pamba ndugu....:crazy::crazy:
 
Pole bandugu ila kaa naye chini akueleze anajisikiaje mpaka anajamba wakati unamgegeda😀
 
Huyo itakuwa anakubip utumie mlango wa pili.
 

kachagua tigo pesa inalipaaa
 
Mkuu hii haihusiani na tigo. Nadhani anatatizo la gesi....kuna chakula kinamuongezea gesi....muoneni dokta ashauri. Pia nahisi anajikamua sana unapo pump...possibility dushe ni kubwa...au anasikia raha anajikamua ku squirt....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…