Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

Hii thred si ni ya 2013? Mleta mada utupe mrejesho nini kiliendelea
 
Nimecheka hadi machozi
..has a comments za watu ..wengine wanashauri naye ajambe
..wengine wanadai ana undugu na songosongo..kuna vichwa humu jf
 
ni dhambi ngono kabla ya ndoa ndo maana hata ushaur mwing hapa niwakukufanya uachane naye yote hayo mnamfuraisha shetan,acha uasherat cku mkifunga ndoa atakua sawa nawe utashangaa!

Siku hizi hakuna demu wa kuoa bila kutest mzigo, wengine hata vizazi hawana, nawashauri waoaji kuchapa kwanza mzigo mpaka mimba ionekane maana hiyo ndio maana ya kuoana.
 
Back
Top Bottom