Hii tabia ya kuwatenga Watoto wa nje ya ndoa ni mbaya sana, ni kutengeneza sumu kwa watoto

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Siku hizi wanaume kuzaa hovyo hovyo na kila sehemu ishakuwa kama fashion vile Ila hii kitu inaaribu psychology ya Watoto wa Nje ya ndoa Yani wanatengwa kwenye kila sehemu hawathaminiki kabisa wanaonekana kama watoto wa bahati mbaya as if waliomba wazaliwe nje ya ndoa

Wanaume ndo wanaotengeneza hii sumu ya kuwatenga watoto wa nje ya ndoa
Ni Jambo Zuri sana kama mwanaume atasimama na kuwaunganisha watoto wote na Watoto Wote Kujuana na kuwa Kimoja sio kutengwa kama vile hawastahili au hawana thamani kama hao watoto wengine

Ila Watoto wa nje ya ndoa mambo yao yanawanyookeaga sana kuliko wa ndani ya ndoa

Kuzaa zaa hovyo kunafanya kuaribu psychology ya Watoto
 
Duh wanawake wao hawazai hovyo hovyo!!! Maana maamuzi ya kubeba au kutobeba ujauzito ni ya mwanamke 100% akiona huna ramani anakwambia vaa kinga au atameza P2 au ataabort.

Kulaumu wanaume peke yake unakuwa totally biased au umelishwa chuki na kina mama!!
 
Iko hivi; mfano, mke wa ndoa amepambana amepambana amepata heka 20 za ardhi, anamshawishi mume wake wajenge nyumba ndani ya zile heka 20.

Wana watoto wanne mama ameshapiga mahesabu watoto wake watagawana heka nne kila mmoja na siku zinavyo sogea lile eneo linakuwa mji.

Ghafla mzee analeta watoto wake wawili, wale watoto wanaona kila kitu pale ni cha baba yao na wao wanategemea wana haki sawa ya kupata eneo katika mirathi.

Wakati mzee akipata pesa anaweka heshima bar na kulipa kodi za nyumba ndogo. Mama anahangaika kuanzia kupikia maharusi mpaka kucheza upatu. Kila anachopata anafikiria kesho ya watoto wake.
 
Duh wanawake wao hawazai hovyo hovyo!!! Maana maamuzi ya kubeba au kutobeba ujauzito ni ya mwanamke 100% akiona huna ramani anakwambia vaa kinga au atameza P2 au ataabort. Kulaumu wanaume peke yake unakuwa totally biased au umelishwa chuki na kina mama!!

Dah
 
Ila watoto wa nje ya ndoa sijui huwa wanawakuwaje akigundua baba yake mzazi ni mtu mmoja masikini sana wala huwezi kumkuta anajiangaisha kumtafuta kumjua baba yake.

Ila akishakuwa na fedha ndio toto utamuona anaanza kuangaika kumtafuta mjue baba yake
 
Cha pili ni kuwaharibia wanawake kuolewa, mwanaume ana mke wa ndoa anaenda kuzaa nje na mwanamke mwingine halafu hamuoi, vijana wanaanza kumuogopa huyo binti anakaa kwao muda mrefu bila kuolewa kwa kuwa tayari ana mtoto
 
Hahahah
 
Kabisa
 
Wala husilaumu wanaume wanawake ndo wanashida

Kipindi Niko chuo wasichana walitoka na watu na wanajua kabisa wameoa na kuwaacha vijana wenzao hapo chuo na mtaa ni kisa hawana hela

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Duh wanawake wao hawazai hovyo hovyo!!! Maana maamuzi ya kubeba au kutobeba ujauzito ni ya mwanamke 100% akiona huna ramani anakwambia vaa kinga au atameza P2 au ataabort. Kulaumu wanaume peke yake unakuwa totally biased au umelishwa chuki na kina mama!!
🤣
 
Back
Top Bottom