Mpendasifa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 277
- 111
Kwa kifupi huyo hayuko tayari kuwa na wewe...she is using you. Tafakari na chukua hatuaProffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner. . Duhhhhh si wakaja wa 4 dahhh kidogo niabike isingekuwa hiz M-pesa nngeaibika hiyo jana.. hii tabia kwa wasichana sio kabisa aiseeee. . Ikumbukwe mtu unakuwa na bajet ya 1siku hiyo ..
Anaogopa utamnyonya damu..(joke), anyway kama bidada hakufahamu vizuri ni ngumu kukuamini especially kama mazingira ya kukutana yalikuwa ya kawaida (yaani tunaokutana nao mtaani ambao unaanza kujitambulisha jina lako, kabila, unafanya kazi wapi na unakaa wapi) lakini wale ambao unakuta tumeshaonana nao mara kwa mara ila hatujawa nao karibu hao mara nyingi akija anakuja bila shida na hata nyumbani anaweza akaja mkapiga story na akasepa kwa kuwa already anakufahamu angalau by 50% hivyo pale kinachofanyika ni kujenga ukaribu tu
yaani natamani mwanamke anifanyie hivyo.....mmoja alijaribu..
naona watu kibao wanaongozana ..nikasimama nikawauliza mnaenda wapi?
walipokaa tu ...nikaaanza ongea na simu hadi nje..nduki.....ha haaaa...
now natamani mno mwingine anafanyie hivyo......nina dawa nimeitayarisha wataenda simulia...
Wenzako wanaacha kabisa waagize vinywaji na vyakula vya kutosha...ndio wanateleza...
Ila hakikisha hiyo sehemu haujulikani...hukawii kukuta bili inakusubiri...
Hiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"
***** zao......mi nawaangalia tu wajishebedue kuagiza miguu ya mbuzi, mara cjui vocha za elfu 20, ma bia utafikiri mi ni chuma ulete halafu mwisho wa cku nawatoroka
Proffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner. . Duhhhhh si wakaja wa 4 dahhh kidogo niabike isingekuwa hiz M-pesa nngeaibika hiyo jana.. hii tabia kwa wasichana sio kabisa aiseeee. . Ikumbukwe mtu unakuwa na bajet ya 1siku hiyo ..
Hiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"