Hii tabia nimeacha

Hii tabia nimeacha

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
788
Reaction score
266
Wana jamvi habarini,

Jamani mwenzenu kuna katabia nimekuwa nacho kwa muda mrefu sasa NIMEKAACHA.

Nilipokuwa na mahusiano na wadada nilijikuta natamani kubaki na chu*p zao, si ikawa tabia jamani! unaambiwa nikisha 'mla' demu nitamng'ang'ania aniachie pichu yake mpaka ananiachia.

Mimi nazificha kwenye sanduku langu la shule, sasa siku zimeendaaa mwenzenu hizi nguo zimekuwa nyingi sana kwa sasa ninazo pichu 36 za rangi na ukubwa tofauti.

Kati ya yao, 12 waligoma katakata kuacha hizo kofuli zao na wawili hawakuwa wamevaa yaani nilikereka sana, nilichokuwa naamini ni kuwa akiacha pichu siku ya pili sitatumia nguvu sana kumfanya arudi tena, na nilikuwa nafanikiwa.

Sasa, swali ni hivi, nizipeleke wapiiii maana nshakuwa mtu mzima na waifu hata hajui kama nina mzigo wa mitumba na spesho nimeuficha? au niwarudishie hao walioziacha?

Japo wengi sasa wameolewa? au nianzishe kaduka niuze nirudishe japo zile hela za soda na juice walizokuwa wanapata kabla ya mchezo pale getho enzi hizo?

Kama kuna mmojawapo humu, aseme tuu ili kurahisisha hili zoezi la 'operation rudisha pichu'
 
Kuna duka moja liko njiani (highway) nilienda watu wametundika vyupi na kofia kama kumbukumbu kwa wasafiri wanaokula pale. So we zitundike sebulen kwako huku ukizilebo majina iwe memory
 
nenda katupe mbali kabisa au fukia chini wife akiziona ni balaa sana,Nakumbuka jamaa yangu alikuwa akigonga demu anavyaa chupi yake anakuja nayo bweni ili kutangaza ila kwa sasa kaacha
 
Simple hiyo mkabidhi mwanao wa kike kama zawadi ya ushindi ya baba yake alivyokua anashindana na nyeMbu
 
Wana jamvi habarini.
jamani mwenzenu kuna katabia nimekuwa nacho kwa muda mrefu sasa NIMEKAACHA. Ni hivi, nikiwa form three ndo nilianza kale ka mchezo ketu kaleeee ka kugegenda vitoto vya form two, sasa nilijikuta natamani kubaki na chu*p za kinadada baada ya kugegenda, si ikawa tabia jamani! unaambiwa nikisha 'mla' demu nitamng'ang'ania aniachie pichu yake mpaka ananiachia, mimi nazificha kwenye sanduku langu la shule, sasa siku zimeendaaa mwenzenu hizi nguo zimekuwa nyingi sana kwa sasa ninazo pichu 36 za rangi na ukubwa tofauti.
kati ya yao, 12 waligoma katakata kuacha hizo kofuli zao na wawili hawakuwa wamevaa yaani nilikereka sana, nilichokuwa naamini ni kuwa akiacha pichu siku ya pili sitatumia nguvu sana kumfanya arudi tena, na nilikuwa nafanikiwa.
sasa, swali ni hivi, nizipeleke wapiiii maana nshakuwa mtu mzima na waifu hata hajui kama nina mzigo wa mitumba na spesho nimeuficha? au niwarudishie hao walioziacha? japo wengi sasa wameolewa??au nianzishe kaduka niuze nirudishe japo zile hela za soda na juice walizokuwa wanapata kabla ya mchezo pale getho enzi hizo?
Kama kuna mmojawapo humu, aseme tuu ili kurahisisha hili zoezi la 'operation rudisha pichu'

vaa mwnywe
 
Kuna duka moja liko njiani (highway) nilienda watu wametundika vyupi na kofia kama kumbukumbu kwa wasafiri wanaokula pale. So we zitundike sebulen kwako huku ukizilebo majina iwe memory

Dah itakua soo sana nipe alternative mkuu acha utani
 
nenda katupe mbali kabisa au fukia chini wife akiziona ni balaa sana,Nakumbuka jamaa yangu alikuwa akigonga demu anavyaa chupi yake anakuja nayo bweni ili kutangaza ila kwa sasa kaacha

Kumbe hili ni janga la taifa
 
mapema yote hii mtu anatundika thread ya chupi? really? seriously? hicho kichwa kiko salama kweli?

Mapema ni saa ngapi mkuu? Maana saa tisa tunakula fresh tu
 
Solution ni kuzichoma tu moto basi. Usizitupe, we vizia siku wife yupo mbali then ziteketeze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom