Kuna moja hiyo ili imtoshe aipasue mara nne
loweka kwenye maji mkuu afuu tengeneza juice unyweeWana jamvi habarini,
Jamani mwenzenu kuna katabia nimekuwa nacho kwa muda mrefu sasa NIMEKAACHA.
Nilipokuwa na mahusiano na wadada nilijikuta natamani kubaki na chu*p zao, si ikawa tabia jamani! unaambiwa nikisha 'mla' demu nitamng'ang'ania aniachie pichu yake mpaka ananiachia.
Mimi nazificha kwenye sanduku langu la shule, sasa siku zimeendaaa mwenzenu hizi nguo zimekuwa nyingi sana kwa sasa ninazo pichu 36 za rangi na ukubwa tofauti.
Kati ya yao, 12 waligoma katakata kuacha hizo kofuli zao na wawili hawakuwa wamevaa yaani nilikereka sana, nilichokuwa naamini ni kuwa akiacha pichu siku ya pili sitatumia nguvu sana kumfanya arudi tena, na nilikuwa nafanikiwa.
Sasa, swali ni hivi, nizipeleke wapiiii maana nshakuwa mtu mzima na waifu hata hajui kama nina mzigo wa mitumba na spesho nimeuficha? au niwarudishie hao walioziacha?
Japo wengi sasa wameolewa? au nianzishe kaduka niuze nirudishe japo zile hela za soda na juice walizokuwa wanapata kabla ya mchezo pale getho enzi hizo?
Kama kuna mmojawapo humu, aseme tuu ili kurahisisha hili zoezi la 'operation rudisha pichu'
Wana jamvi habarini,

Mwenyewe akikuta napiga being bikini yake , huo mziki ntauwezaa