Hii tabia nimeacha

Hii tabia nimeacha

dawa hapo ni kumkabidhi wife wako avae zile zinazomtosha zingine agawe kwa nduguzo na nduguze....
 
Unahitaji matibabu,una dalili za mtindio wa ubongo.

Dr. Wa vichaa ni lazima na akili yake iwe na ukichaa, ndo mnaopasua vichwa badala ya miguu
 
bado una maagano na hao viumbe!

Choma moto hizo nguo kabla mkeo hajastukia mchezo..

By the way, huwa unazifua?
 
Mkuu me naona ukigawa utawasahau alafu sio vizuri binadamu kusahauliana, me nakushauri zinazokutosha zivae wewe mwenyewe kama ni kubwa zipunguze uzivae kwani utaokoa garama ya kununua pichu na utatekeleza amri ya mola ya kuendeleza upendo daima
 
Back
Top Bottom