Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,546
- 4,486
Hapo hapo na Kuna night club pamoja na danguro nyuma ni mwendo wa genye tuMnasema ghorofani sehemu gani? Karibu na Bank ya NBC maeneo ya Ilipokuwa Pm bet au wapi? Nikaone hayo maajabu nikanunulie watu pombe niletewe watoto niondoke nao kama steering vile nimeua jambazi kuu
Tarime ingependeza zaidi.OK sikujua hilo,huo mji ni kwetu ila imekaa kama loop Fulani unaingia na kutoka,mi naona mji mkuu Wa mkoa Wa Mara angalau wangeufanya uwe pale mwibagi au Bunda.
Waache pombe.Ni masikini,wafanyeje?
Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?
They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!
Shukuru mungu hawajakuua
Shida ya Tarime iko mwishoni,inatakiwa iwe katkati ya mkoa,angalau Bunda iko mwanzoni.Tarime ingependeza zaidi.
Muambie muhusika uliekutana nae baa sio sisi huku JF
Ni upumbavu habari za walevi wawili walizofanya baa kutuletea sisi JF tutoe judgement....
Mlevi mmoja tajiri,mwingine masikini,masikini kamuomba tajiri pombe,huyo tajiri anakuja JF kulalamika eti kaombwa pombe na mlevi mwenzie?
What a stupid move?
Malizaneni huko baa,sisi hatuhusiki
Sisi haituhusu,nimekutaja wewe?
Wewe ndio "SISI"?
Wewe sio SISI,wewe ni wewe!
Naona unajishuku sana,as if upo kwenye group nililolizungumzia
Haupo
Wewe umeenda baa,mlevi mwenzio kakuomba pombe,unatuletea sisi huo mjadala tukusaidie nini?
Kwanini usimwambie huyo mlevi mwenzio usichokipenda?Unakuja kutuambia tukusaidie kumwambia sisi tunamjua huyo mlevi?
Umeenda baa,watangazie walevi wenzio humo baa kua hutaki mtu akuombe chochote,usituambie sisi maana hakuna mtu humu alishakuomba pombe
Kwa kifupi unaleta kesi kwenye audience isiyohusika!
Dada kuna kitu kinaitwa Free Speech
Naongea navyotaka,na wewe pia ongea ukitaka
Huwezi pangia watu waongee au wasiongee....
Jifunze kukaa na wanadamu wenye mrengo tofauti na wewe
Sio kila mwanadamu atakua mrengo unaopenda wewe
Sisi haituhusu,nimekutaja wewe?
Wewe ndio "SISI"?
Wewe sio SISI,wewe ni wewe!
Naona unajishuku sana,as if upo kwenye group nililolizungumzia
Haupo
Wewe umeenda baa,mlevi mwenzio kakuomba pombe,unatuletea sisi huo mjadala tukusaidie nini?
Kwanini usimwambie huyo mlevi mwenzio usichokipenda?Unakuja kutuambia tukusaidie kumwambia sisi tunamjua huyo mlevi?
Umeenda baa,watangazie walevi wenzio humo baa kua hutaki mtu akuombe chochote,usituambie sisi maana hakuna mtu humu alishakuomba pombe
Kwa kifupi unaleta kesi kwenye audience isiyohusika!
cc: Mwita Waitara, Esther Bulaya, Esther Matiko....tafadhalini waokoeni vijana wenu na ujinga huu. Kama si kuuana basi watakuja na ujinga mwingine usiokubalika ndani ya jamii. Tumewachoka jamani.Habari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.
Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua ombaomba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Ni ajabu mlevi kuomba pombe kwa mlevi mwenzie?
Ni ajabu mvuta sigara kugongea sigara kutoka kwa mvutaji mwenzie?
Unajua utamaduni wa "kugongea fegi" wa wavuta sigara?
Wewe si mvutaji,hujui lolote!
"kugongea fegi" kwa wavutaji sigara na bangi ni utamaduni unaoheshimika na kuthaminiwa....
Nimeshangaa hujui hili,nikagundua wewe utakua mamluki,hujawahi vuta chochote!
Uzi nimeulewa na hoja za mleta mada nimezielewa zaidi yako wewe
Mkuu
Its crazy anae dhalilika ni mimi ila wewe ndio matako yanakuuma,kwanini?
Credits zangu zitashuka,nilikua nazo to begin with?
Sipo JF na credits zozote,kila mtu afate maisha yake,kama wewe una credit ndani ya JF ni wewe,and worry for yourself sio mwingine!
Natetea maana ni sahihi kabisa mlevi kumuomba mlevi mwenzie pombe!
Taifa linayumba sababu ya Mawe,yeye ndio ana madaraka yote na maamuzi yanayo athiri watu milioni 60 kwa wakati mmoja,mimi msukuma mkokoteni nina maamuzi gani ya kuathiri watu wangapi nchi hii?
Kila kitu ni Magufuli,anapofeli anafelisha watu milioni 60,ndio maana tunamlaumu kwa kila kitu,na rightfully so!
na ww muomba bia niniUpo baa,wamejaa alcoholics ,wewe unategemea uombwe nini ?
Mbona mnajifanya kama mmepumzisha akili zenu aisee?
Upo baa,unataka uombwe nini?
Uombwe dawa au malazi?
Upo baa unaombwa cha baa hapo hapo,ambacho ni pombe and the likes mzee!
Huyo kaomba pombe kutokana na hali yake na mazingira yake ya umasikini,wewe unaomba vitu vingine kwa waliokuzidi social ladder mara kibao tu,ila omba yako wewe ni sahihi,ila ya huyu mtu wa chini sio sahihi
Hii nchi kuna watu wanafiki mno
Kumbe wewe ni ....?Wanapenda vya bure watafirw@@@!!
Ngoja niende huko nikawakomeshe na umatonya wao.
Ukweli kabisa. Rais alikuwa Geita, Chato akituthibitishia hili jambo.Attention seekers mna shida sana....
Ni nchi nzima ya Tanzania ipo hivyo sababu ya umasikini uliotopea...hii kujifaragua ni Musoma tu ni namna fulani ku-undermine eneo na watu wake
Nchi nzima ni ombaomba...usibague!
Uue kisa pombe! Wa Kusoma mna shida!Ni masikini,wafanyeje?
Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?
They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!
Shukuru mungu hawajakuua
Unajua maana ya chakula? Unafananisha aje ugali na k vant? Hujaambiwa hapo ukumbini wanaomba chakula!Shida unasikia mavi yananuka hujiulizi yamefikaje hapo....
Ndio shida ya watu wa nchi yetu...hawajui kutafuta mzizi wa tatizo
'
Wale ni wanadamu kama wewe,unatakiwa ujiulize wamefikaje hapo,nini chanzo?
Wewe unakimbilia kutoa uzi,wakati nchi nzima ni ombaomba wewe included!
Wale ni watu na wanataka kula kama wengine,ni jukumu lao kujitafutia chakula hata kama nikuua wewe..
Ni masikini hao ambao ni nchi nzima,hadi wewe ni masikini sema ni masikini aliechangamka,maana hata wewe unaomba walio mbele yako katika social ladder.
Nani kakwambia katika kujitafutia ugali ili u-survive kuna "Utanzania"?Utanzania ni nini hasa?
Utanzania ni mazuri na mabaya yanayofanywa na watu wake,including kua ombaomba!
Acha kujifanya wewe
Acha ubasha weweVp wao hawatoi?