School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 412
- Thread starter
-
- #101
Mzee unaonekana hupafaham Musoma me nimezaliwa Musoma na ninaishi Musoma na nimezungumzia Musoma mjini sijazungumzia mkoa wa mara huenda unaongea vitu usivyo vijua me nimezungumzia wilaya ya Musoma mjiniMkuu
Huyu bwana hana lolote
Kaamua kutoa uzi kudharau tu eneo la watu na wa watu wake
Kasema kavisit Musoma siku chache,hiyo baada kahudhuria miezi mingapi mpaka ku-prove hao watu wanaenda hapo kila siku ya mungu kuomba makusudically all year around?
Kaenda siku moja,leo anatutolea uzi
Huyu mtu ni mtu fulani hivi wa dharau na ku-generalize maisha ya watu pahali na kuwa-undermine as if yeye anakaa Ulaya sana
Kumbe ni punguani tu mwenye maisha wastani sawa na watanzania wengine milioni 60,cha ajabu anatukana mkoa mzima na watu kwa tabia ya watu wawili watatu wa baa moja tu Musoma mjini
Hii inaonesha huyu mtu ni limbukeni sana na mtu wa kukurupuka kutoa conclusion bila kuelewa
Kahudhuria baa moja tu..anaji ekti ni mkoa mzima
Huyu mtu ananishangaza sana
Mzee we unaweza toka kwako ukafungasha p*mb* zako ukaenda bar kuomba pombe seriousUpo baa,wamejaa alcoholics ,wewe unategemea uombwe nini ?
Mbona mnajifanya kama mmepumzisha akili zenu aisee?
Upo baa,unataka uombwe nini?
Uombwe dawa au malazi?
Upo baa unaombwa cha baa hapo hapo,ambacho ni pombe and the likes mzee!
Huyo kaomba pombe kutokana na hali yake na mazingira yake ya umasikini,wewe unaomba vitu vingine kwa waliokuzidi social ladder mara kibao tu,ila omba yako wewe ni sahihi,ila ya huyu mtu wa chini sio sahihi
Hii nchi kuna watu wanafiki mno
Kumbe una lako jamboMkuu
Huyu bwana hana lolote
Kaamua kutoa uzi kudharau tu eneo la watu na wa watu wake
Kasema kavisit Musoma siku chache,hiyo baada kahudhuria miezi mingapi mpaka ku-prove hao watu wanaenda hapo kila siku ya mungu kuomba makusudically all year around?
Kaenda siku moja,leo anatutolea uzi
Huyu mtu ni mtu fulani hivi wa dharau na ku-generalize maisha ya watu pahali na kuwa-undermine as if yeye anakaa Ulaya sana
Kumbe ni punguani tu mwenye maisha wastani sawa na watanzania wengine milioni 60,cha ajabu anatukana mkoa mzima na watu kwa tabia ya watu wawili watatu wa baa moja tu Musoma mjini
Hii inaonesha huyu mtu ni limbukeni sana na mtu wa kukurupuka kutoa conclusion bila kuelewa
Kahudhuria baa moja tu..anaji ekti ni mkoa mzima
Huyu mtu ananishangaza sana
Mbio za kijiti na kundi lingine nimelisahau jina, walitesa sana miaka hiyo
Mkuu nakushauri hizi pombe kali usipende kuzipiga kavu kavu, hasa kama ni mnywaji wa kila siku au mara kwa mara....Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Tena wenye ndevu nyingi ndio wazuriItakubidi uwe na roho ngumu sana kufi*a kijana wa Kikurya [emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Jamaika mokazi, mdomo wa furu, walikua wasumbufu sana hawa jamaa .. ila sijui kama saa hizi bado wapoMbio za kijiti na kundi lingine nimelisahau jina, walitesa sana miaka hiyo
Yaani Wakurya ni hovyo ni si anakuomba!!!Anakuamlisha;Mraa weka humu phombee,ukikataa anakuvizia nje ili akuweke ngeu kwa sime,cha ajabu wanawafanyia wageni tuSerious mkuu?
Hiyo ni observation yako binafsi
Unaruhusiwa kutoa maoni
Mwingine atakuja na mtazamo kinyume na wewe kabisa
Tuishie kusema,kila mtu na mtazamo binafsi kuhusu Musoma....!
Wewe kila wakati kwenye simu yako unaomba washikaji wako misaada mbalimbali ya mikopo ya pesa....hiyo nisahihi,ila mlevi mwenzio mliyekutakan kwenye ulevi akikuomba pombe ni vibaya?
Kama mnaweka double standards namna hii basi ni sawa!
Mimi sio mlevi,huwezi nikuta baa yeyote nafanya chochote!
Mkaruka acha maneno mengi waambie jamaa zako waache kuomba pombeMleta mada hii ni lofa fulani ambaye hana kitu! Watu Musoma wanakula fedha za makinikia ,wewe na vichenji vyako vya mshahara wa mwisho wa mwezi unaletea watu wa Musoma dharau!
Inawezekana kweli mtu aligongea kwako hiyo K-Vant lakini hiyo siyo big deal!
Wewe ni masikini na huna kitu acha dharau kwa Watu wa Musoma.
Nunua K-Vant zako kaa sebuleni kwako kunywa.
Pale CHAMA LA WANA watu wana pesa zao ,wewe ndo una pesa za mawazo!
Mwanadamu anasaidiwa mahitaji ya msingi(ambayo yanahatarisha uhai wake), mf chakula au maji. Sio starehe. Starehe haiombwi, inanunuliwa. Kuomba starehe ni kiwango cha juu cha kuendekeza tamaa. Kama unaona sawa hili kisa mtu hajiwezi, basi ni sahihi mtu kukugongea mlangoni kwako na kukuomba amtombe mkeo kimoja sbb ana nyenge na hana hela ya mwanamke.Nashindwa kuwaelewa ujue
Huyu mlevi aliyeko baa unataka aombe nini baba kama sio pombe?
Mtaka aombe malazi na dawa au shati au viatu?
Kaomba pombe kwa mlevi mwenzake mwenye hela ambae ni wewe hapo
Maana wewe hapo unaomba vitu vingine kwa wakubwa zako wa kimaisha kila siku,ila uombaji wako wewe ni sahihi ila sio huo wa huyo mlevi mwenzio?
Nikifanya mimi A ni sawa,yule akifanya A hiyo hiyo sio sawa!
Hii naona ni kujifanya mna madaraka ya kutukana walio chini yenu,wakati na nyie mna walio juu yenu mnawaombaga favour kibao kila siku
Acheni double standards nyie mamalia wenzetu!
Tanga, Moro, Dar, Mbeya na Mwanza sijaiona hii tabia.
Hii ndio mikoa nimeingia kwenye kumbi za starehe bila kukutana na hao ombaomba wa vinywaji.
Wanunulie halafu waombe namba ya simu anza kuwatongoza...... Si wanakuletea tabia za kike, watreat kama wanawake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi yaishe ndugu yangu, usiwe na hasira hvyo... January hii itaisha tu tutarudi kwenye mstari.....
By the way Leo weekend njoo Calabash na kikombe....tutakunywa bia