Hii tabia mtu unasimamisha gari kumsalimia mtu yeye anaingia kwenye gari siipendi

Hiyo gari ya m3 ukienda safari hata dar hadi moro itabidi uipunzishe mala 3. Lasivyo utawalaumu zimamoto bule..!!
Kagari kanapita barabarani kama katoto kayatima.

Kuna mwehu mmoja wa vichekesho gari kama hiyo anaiita pilipili kichaa...kama ni nyekundu ujue pilipili kichaa iliyoiva.
Mpuuze huyo jamaa watu tumesubiri namba E yeye anaongelea gariza m3. Hao ndo walikuwa wanatujazia bure ile uzi wa tuliokuwa tunasubiria namba E
 
Kuna jamaa moja yeye akiingia kwenye gari tu anaanza kupiga piga simu sizizo na maaana anakuta ninakula mziki wangu basi yeye simu ikiita tu anazima mziki wangu ili aongee na simu alafu simu zenyewe za kijinga tu njia nzima. Huwa ananikera sana. Ni kama anajipigisha masimu tu ili tu aziime mziki wangu. Kama hapendi mziki si ashuke tu atembee
Umeomba lift tulia kama unapigwa sindano lakini ndiyo hivo mwisho wakuone unaroho mbaya sasa ngoja ashuke mlango anavyofunga utadhani kagombana nao
 
Hiyo gari ya m3 ukienda safari hata dar hadi moro itabidi uipunzishe mala 3. Lasivyo utawalaumu zimamoto bule..!!
Kagari kanapita barabarani kama katoto kayatima.

Kuna mwehu mmoja wa vichekesho gari kama hiyo anaiita pilipili kichaa...kama ni nyekundu ujue pilipili kichaa iliyoiva.
😂😂😂😂😂 daaah
 
Back
Top Bottom