mimi nakereka zaidi
unakuta wakati wa neno mtu anatoa simu anafungua biblia ya kwenye simu au wakati wa sifa anafungua tenzi kwenye simu,aisee napataga hasira sana
kuna ugumu gani wa kununua tu biblia yako na kwenda kanisani na ajabu kubwa ni kua imekua kama jambo la kawaida tu mashemasi wala wazee wa kanisa hawakatazi jambo ili,..
so sad
unaweza kua upo sahihi kwa namna yako ila kwa sisi wengine mnatupa makwazo,Usikereke mkuu tunakimbizana na teknolojia, mimi ni mmojawapo hapa umenigusa lakini sijaona shida ilipo huwa naweka flight mode chochote hakileti distraction.
Na nikiri nimekuwa msaada sana kwani naokoa mda sana pale tukiambiwa funua wakorintho 6, fasta wakati wengine wanahangaika na hardcopy, kamwe sijawahi kumkera mtu au simu ikawa kikwazo ibadani.
Kabla ya biblia za karatasi kulikua na magombo, ambayo yalikuwa kama magamba ya miti yaliyoandikwa neno. But with the printing technology kukawepo na hizo biblia tulizo nazo leo. Kama watumia magombo wangekuwa na mindset kama yako sijui hata kama ungekuwa na hiyo bible ya karatasi.unaweza kua upo sahihi kwa namna yako ila kwa sisi wengine mnatupa makwazo,
na sio wote mnoweka flight mode wengine tunawaona kabisa wanasoma biblia na kuchart..aisee
Nunua vitabu vipo simu inapoteza umakini wa kuzungumza na munguTunatumia simu kusoma biblia,tenzi za rohoni nk.
Acha kuishi dunia ya kale.
Who said so?Nunua vitabu vipo simu inapoteza umakini wa kuzungumza na mungu
hayo makanisa ni new software.nenda roma au kkkt kama utakutaKuna tabia imeshamiri sana makanisani siku hizi, hasa haya makanisa ya 'kisasa'. Tabia ya matumizi ya simu nyakati za Ibada. It's either wakati wa sifa, kuabudu au hata neno unakuta vijana kwa wazee wamekazana na simu zao kurecord na wakati mwingine kuingia 'live' kwenye social networks.
Najiuliza tunaenda kanisani kuzungumza na Mungu au kuwaonesha watu kuwa huwa tunaenda kanisani?
Ni Mungu yupi huyo tunaemwendea kwa kuwa busy na smartphones zetu nyakati za kuzungumza nae? Mbona haya mambo hatuyaoni kwa Waislamu? Au wao hawana smartphones? Mbona makanisa kama Catholic, Lutheran na yanayofanana na hayo hatuyaoni hayo mambo? Au wao wakiingia kanisani wanaacha simu mlangoni?
Kuna haja kubwa sana hili suala kupigiwa kelele hasa na viongozi wa makanisa hayo, kiukweli tunamkosea sana Mungu na linakera sana.
NDUGU ZANGU WAKRISTO TUSIRUHUSU UTANDAWAZI KUTUWEKA MBALI NA MUNGU WETU...
Kanisani kwetu kkkt ukishika tu simu huruhusiwi kabisa hayo makanisa ya kisasa hongera zao
Kwan tofauti ipo wapi au karatasi ndo inahitajika? Kama kweli ni kwa matumizi hayo mm sioni tatizo ila kama anatumia simu kwa mambo yaliyo nje ya ibada sawamimi nakereka zaidi
unakuta wakati wa neno mtu anatoa simu anafungua biblia ya kwenye simu au wakati wa sifa anafungua tenzi kwenye simu,aisee napataga hasira sana
kuna ugumu gani wa kununua tu biblia yako na kwenda kanisani na ajabu kubwa ni kua imekua kama jambo la kawaida tu mashemasi wala wazee wa kanisa hawakatazi jambo ili,..
so sad
Anyway kama mkuu utaendelea kutumia simu endelea coz kila makanisa na utaratibu wakeWho said so?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hayo makanisa ni new software.nenda roma au kkkt kama utakuta