Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Nimejaribu kuangalia hizi pics nikashindwa kutambua hii suti aliyokuwa amevaa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Balele.
Any suggestion?
Any suggestion?
inawezekana mzee mtu wa masigara moto wa sigara ulidondokea hapo akiwa bwiii lakini akawahi kutoa ndio maana limebaki hilo doa!! halafu mbona koti na sarawili havioani rangi au ndio mambo ya wasukus hayo?😛ound:😛ound::smow:Mie nilikuwa nazungumzia hicho kidude cheusi hapo. Ina maana ilikuwa haijafuliwa au Mkulu wa Mkoa ali-ignore.
Hilo dowa jeusi lilikua kwenye lenz ya kamera. Angalia picha ya kwanza na ya pili utaona doa liko mahali tofauti kenye koti katika hizo picha mbili.
Kitu nimeona hapo ni jamaa wanakuafa kiofisa na tai shingoni - angalia wanavyo tokwa jasho. Nadhani vazi bora kwa mazingira yetu ni safari suit.
Inaonekana ni mwanga umeakisika kutoka mahali kama si kamera basi kuna mahali umetokea.Sio doa kwa kuwa linaonekana linahama toka sehemu moja hadi nyingineMie nilikuwa nazungumzia hicho kidude cheusi hapo. Ina maana ilikuwa haijafuliwa au Mkulu wa Mkoa ali-ignore.