Hii summer ngoja nikumbukie winter kidogo

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
ImageUploadedByJamiiForums1402082473.127463.jpg
 
dogo ana hatari sana

Nlikua namlea nephew wangu wacha kuna siku aingie uvunguni wa kitanda kwa kutambaa alafu alipofika uvunguni akakaa kitako nlichanganyikiwa najiuliza ninyanyue kitanda ama nifanyeje basi hata sijaamua la kufanya akatoka uvunguni huku kana smile mwenziwe presha juuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ndivyo walivyo watoto.

Na wala wazazi msije ingilia ugomvi wa watoto hata siku moja maana mwaweza kuwekeana mashondo wakati watoto wenzenu baada ya muda mfupi wanacheza pamoja
 
Yeah ni kweli ngoma ya kitoto haikeshi

Back
Top Bottom