Hii style ya kuvaa naipenda sana!

Kuna kichaa,mwendawazimu,chizi na punguani. Huyu anatatizo moja kati ya hayo.
 
Mtu kama huyu ukimwambia habari za muundo waserikali zinamhusu nini?
 
Ukiwa mmajasiliamali lazima kuwa mbunifu sana ili kuvutia wateja.la sivyo utaishia kupiga miayo
 
Ina mifuko ya nyuma???!!!
Anachukuaje vitu au kuviweka????!!!
 
Kuna kichaa,mwendawazimu,chizi na punguani. Huyu anatatizo moja kati ya hayo.

Mnamshambulia vibaya bure lakini mi namsifu kwa mbinu hii ya kufanya biashara!! Kwa kuvaa hivi amekuwa kivutio hivyo anauza zaidi ya birika kumi kwa siku na sahani kibao za kashata. Mkija kushtuka ana maisha mengine nyie mtabaki na story alikuwa anavaa....!! Kaenda kwa mganga....!!! Blah blah kibao....!! Mjini shule.......!!
 

Kuna ka fyuzi kamefyatuka!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…