Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 579
- 887
Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?