Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

Kuuliza swali kuna mambo manne: 1. Hujui, unataka kujua, 2. Unajua, unataka kujua kama unayemuuliza anajua, 3. Unashangaa tu, 4. Unaanzisha mazungumzo.
 
Back
Top Bottom