HII SMS YA APP YA JISAJILI ONLINE NI KWELI?

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,202
664
Naomba kujua hii sms inayotumwa kwa watu 10 magroup ya Watsapp
Ukiinstall zen ujisajili Line yako
Nimejisajili ila haijaleta feedback zaid ya kunambia nishare kwa watu 10
Je hii ni ya Kweli au ndo tunaibiwa taarifa zetu na majambawazi?
 
we sambaza taarifa zako tu kwa hacker ndo utakuja kujuta

ushawahi kusikia tcra wamesema utajisajiri kwa app au ushawahi kusikia mitandao ya kijamii inasema hivyo

weka fingerprint wajanja wachukue alama za vidole zako wasajiri laini kwa kutumia alama yako
 
Japo kwa kufikiri kidogo tu, unadhani Serikali inaweza kuruhu usajili wa namna hiyo!
 
Back
Top Bottom