Hii sio sawa

Hawa ni kuwawekea sumu kwenye hivyo vyakula watakufa kama kuku wa mdondo maana wakifika sehemu wanagawana, yaani hawa jamaa njaa wameivalia kibwaya ile mbaya
 
Sasa akiyachukua anayapeleka wapi?,dhurma imewajaa nyambafu zao..
 
jamaa mkewe ameshapika ubwabwa nyumbani amemwambia asubiri anamletea ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…