Gusa unateKwani guest zinawafuata😂
Haina ukweli hii hadithi yako .Ndugu zangu eid mubarak
Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo. Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani mwezi mzima watu wamefunga kumlilia Mungu Leo hata Eid haijafika hata katikati Niko gest 😲!! hapana kwakweli
Mwezi huu vitimoto vyote vilikosa walaji, gest pia waingiaji walipungua sasa Mara hii washaanza kusumbua
Nachoookaaa Shanghazi yenuu
Wanazifata wenyeweKwani guest zinawafuata😂
Kawape Takko ilo walivuruge!! Sio unawapa tu wachungaji huko church kila sikuNdugu zangu eid mubarak
Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo.
Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani mwezi mzima watu wamefunga kumlilia Mungu Leo hata Eid haijafika hata katikati Niko gest 😲!! hapana kwakweli
Mwezi huu vitimoto vyote vilikosa walaji, gest pia waingiaji walipungua sasa Mara hii washaanza kusumbua
Nachoookaaa Shanghazi yenuu
Sasa tusilaumiane hakuna aloshikiwa fimbo😂Wanazifata wenyewe
Hakuna kitu kibovu duniani kama upwiru ujue😂Sasa tusilaumiane hakuna aloshikiwa fimbo😂
Kwamba kuna mali yake ya mwili hua anatoa kwa pesa za kitanzania?Nje ya mada
Mtoa mada unafanya kazi gani tukuungishe 🤔
Watu hufuata sheria za dini pale zinapowanufaisha tu. Au huzipindisha ili ziendane na matakwa yao.Huu utaratibu wa kuwa wema kwenye mfungo, na kutenda mabaya mkishafungua umeandikwa kwenye kitabu wapi?
What is the point of fasting? Kwanini muwe wanafiki kwa kujifanya wema?
Wengi Wao Wanafanya Mazoezi Ya Kushinda Njaa,,Na Kujidanganya Wenyewe,,Hakuna Wema Wowote....Huu utaratibu wa kuwa wema kwenye mfungo, na kutenda mabaya mkishafungua umeandikwa kwenye kitabu wapi?
What is the point of fasting? Kwanini muwe wanafiki kwa kujifanya wema?
Si usubiri hata siku ipite kuna kesho..Hakuna kitu kibovu duniani kama upwiru ujue😂