Nimekaa zangu kwa mamantilie nmeagiza ugali dagaa nakula ghafla namuona pembeni mtoto wa mamantilie anakula bure..tena wali na nyama,Yaani nimeshikwa na hasira hapa na hiki chakula silipii..