Hii sio kazi ya taulo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Kwanza lazima tukubaliane kuwa rangi nzuri kwa taulo ni nyeupe na kazi ya taulo ni kukausha maji mwilini baada ya kuoga, unajikandakanda tu bila kutumia nguvu na kwakuwa taulo ni kotoni tupu basi hunyonya maji yote mwilini na kukuacha mkavu huku taulo lako likibaki safi
shida ni pale mtu anapotumia taulo kutoa nongo ambayo ameshindwa kuitoa wakati anaoga umakuta mtu anajifuta na taulo utafikiri anajisugua HIYO SIO KAZI YAKE, kwa jinsi hiyo taulo halikawii kuchafuka kufubaa na kupoteza weupe wake na hasa kama wewe ni mvivu wa kufua basi kazi ipo
tembelea gesti za uswazi utajionea mwenyewe yani huwezi kujua kama taulo lilikuwa la kijani njano au.jeupe kwa ufupi linatia kinyaa na linakuwa na kaharufu fulani kabaya mno
 
utapata kisonono ukitumia hizo mi sijifutii hata kwa dawa
 
Ni wachache sana tunaoweza kutumia taulo jeupe;

Unakuta bw mkubwa ana kitambi hukooo kafunga kataulo
halijulikani ni rangi nyeupe rangi ya udongo au ni rangi
gani eti asubuhi asubuhi hasa wikiendi anaranda randa
kukagua mazingira.

Hizi za gesti siijui kwa kuwa huko sijawahi kwenda kabisaaa.
 

Mazingara au Mazingara ?
 
ahahahah
baada ya kuoga usiku,kujiswafi na kujimwagia maji asubuhi
leo tuna matumizi ya taulo..good..lazima somo la usafi wa mwili lieleweke
 

Wanaume na taulo jeupe wapi na wapi kama hana mke wA kumfulia bora anunue la bluu hata likichafuka hakuna atayejua vinginevyo ni aibu tupu
 
iviii mamoranii tunatumiaga taulo.....maana tunaoga mtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…