Hii sio haki

Huenda Mungu ameamua kukuepusha na janga fulani,usipende kulazimisha mambo,kua makini sana usije ukajilaumu wakati ambao itakua ni too late!
 
Labda alijiongeza kuona kama nauli tu nimetumiwa hii hali itakuwaje?
Na kweli aliona mbali si unaona sasa!!
Okey kwahyo wewe ulitaka nauli atumiwe kias gan? and why asimwambie ukwel kwamba kwa hii nauli siwez kuja
 
hahha potezea, mbona kipindi mnafatana chemba huku tushirikisha...wanaume wa dar mnatia aibu,kutuma nauli buku 4800 unatangazia umaa wote, watu tuko mkoani tunatuma ya ndege na hawajii tunakausha.jua hiyo nikama umebetii bro...kausha kiume
 
Wewe Oprah Winfrey hebu rudisha hela za watu
 
Ila at least angetuma hata elfu 20 au 15 bei ya mwisho kabisa.
Sasa buku NNE na mia nane hapo si anajua kabisa anaenda kukopwa uchi
Ndio maana hakuja wenzako tunatuma elfu 30 au 40 au 50 inategemea na status yake
Sasa we we elfu 4800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…