we mwanamke mbona unatomboka sana naona leo unaniquote sana huyo ndugu yake ni mwanaume anaitwa Inno kama sikosei wewe unaitwa cute b or mayb udeclare humu jamvini kua wewe ni PUNGA shwaiiin!!!
Nyoooooo.... kwani wew nani nisi ku quote? Tuliza mshono msimu wa kristmas umepita...
Nimesema mimi ni ndugu yake na siku ya tukio nilikuwepo hutaki unaacha...
Afu acha umbea ata kama alikuwa jambazi mmoja wew kinakuuma nini? Au wewe ndo miongoni mwa hao majambazi??? Kwa hiyo unajua idadi mlienda wangapi?