Tena kile kiazi kikuu.Hata hivyo usiumize kichwa huyu anajipoza maumivu jinsi Kiba anavyompa presha domo.
Sina team lakin bado cwez tetea ujinga kama huu, huwa nasikikita sana kuona m2 mmoja mjingamjinga anamtukanisha msanii coz hta huyo diamond mwenyew cdhan kama anaweza ongea laana km hii, ifike hatua mkiona comments za kijinga km hz badala ya kushabikia team mdeal na hawa wajinga wachache, coz diamond has nothing to do with such nonsense!!! Huyu ni desparate empty head fan asiejua maana ya kuwa fan na pia pengne hajajua maisha ni nin so kubishana na wa2 km hawa wote mnawapa kick !