Hii sinema feki ya Ali Kiba

Hii sinema feki ya Ali Kiba

Hivi Ali Kiba na Ndomo wanalingana kweli? Mi sioni ulinganifu japo najua Kiba anasubiri sana kwa Lidomo! Lidomo yuko levo ingine kwa sasa! Kiba yeye alie tu na McMugan!

Sina muda wa kujibu maswali ya kijinga kama haya.Huniwekei bundle, comment kivyako.
 
Ally kiba is like a nightmare to you, una suffocate sana...vitu vingine unaviacha tu kama vilivyo utakufa kwa kihoro bure...God created him with that amazing tarent,co kosa lake eti....he is up and too bad there is nothing u can do kumporomosha,kwahiyo we shukuru tu kwa kila jambo hata kama linakuumiza kwa kiasi gani! Tushukuru kwa yote

Thanks,umemaliza yote proto cute.Sijui mnajifichaga wapi siku zote nyie watu.
 
Last edited by a moderator:
Tujuzane ile sinema fake imeishia wapi ilitambulishwa tarehe 02 mtu kujitangazia kavamiwa na majambazi 20( sasa sijui hii idadi yote walikua wanafanya maandamanocau laa cz hata bank haijawahi tokea ikavamiwa na idadi hii) Halafu wakawajeruhi ndugu zake (cha ajabu haikuoneshwa hata picha moja ya majeruhi) Halafu muhusika kajificha hawakumuona (duh idadi ya watu 20 wameshindwa kumuona mtu mmoja kwani hyo nyumba ilikuwa na mahandaki?) ifikie hatua watanzania tukatae kufanywa watoto na kama watu mziki umewashinda waache sio kutafuta kick kinamna hii kwa kutunga uongo ambao hata mtoto waiaka miwili humdanganyi kipindi wenzake wanajituma wao fitina na roho ya kwanini fulani afanikiwa walahi down fall r waiting for him na Level za Diamond wataishia kuziota

We mwanamke au mwanaume
 
Ally kiba is like a nightmare to you, una suffocate sana...vitu vingine unaviacha tu kama vilivyo utakufa kwa kihoro bure...God created him with that amazing tarent,co kosa lake eti....he is up and too bad there is nothing u can do kumporomosha,kwahiyo we shukuru tu kwa kila jambo hata kama linakuumiza kwa kiasi gani! Tushukuru kwa yote

I meant talent and not tarent
 
Hahahahhaha!nipogo mama, utaendelea kuniona

Haya poa.Ila ukitaka kuedit post yako unaihold halafu unasoma options kwa pembeni kuna sehemu ya kuedit unaiclick kisha unaedit halafu unaisubmit.
 
WEwe mbwa umepata nafasi ya kunyonya dudu ya diamond basi unajiona na wewe zari eeh? Sasa endelea mbuzi wewe mxiuuu
 
Mbona hatujaona majeraha wala mahojiano ya majeruhi zaid ya sauti ya ali kiba akipaka rang kwenye sinema yake

Tatizo lenu mnakariri maisha,ipo siku mkiambiwa fulan na fulani ni wapenzi basi mtataka picha zao wakifanya mapenzi ndio msibitishe, acheni kuongea, vitu ambavyo hamna uhakika navyo
 
Nini unataka mi nnamiujiza...nini unatakaaaa.....nikugeuze princessss sema nini unatakaaaa...Aaaah ni sheeedah team kiba oyeeeee!!!

Hahahaha huo wimbo ni mzuri hatari na umempandisha sana Kiba, alafu kuna watu wakawa wanaponda cjui beat la kuiga, mara sijui wimbo hauna maana, wengine sijui kabana pua sana. Wabongo kwa kuponda hawajambo alafu ukute hao walioponda kwenye simu zao huo chekecha ndiyo wameweka ringtone kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom