Hii simu imeganda, baadaye ikazimika kabisa

Hii simu imeganda, baadaye ikazimika kabisa

Network haishiki huku line zinasoma? Au na laini hazisomi?

bonyeza *#06# angalia imei namba itakayotokea kisha angalia kama hiyo imei inaendana na imei utakayokuta nyuma ya simu ukishatoa betri
ni laini hazisomi mkuu..

yah hapa imei inafanana mkuu!! nifuate taratibu zipi?
 
yah alifanya hivyo
Hapo tatizo litakua ni firmware aliyoflashia.

Ili kujiridhisha kana tatizo ni firmware.

Jaribu kuweka kwenye simu nyingine hizo line zinazogoma.

Cheki kama zinasoma.

Kama zinasoma its fine.

Weka laini zingine kwenye c7 zisiposoma na hizo means tatizo ni firmware.

Hapo ni ikiwa simu kuamka hakujahusisha kuifungua na kuichomelea.
 
imekubali mkuu
 
Back
Top Bottom