Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,413
Dah! Ikipona utupe feedback mkuu ila ningekuwa mimi ningeitelekeza kutokana na uzoefu wangu kwa simu za Tecno.
Kuna jamaa angu hapa alikuwa na Tecno L9+ ya huohuo mwaka 2017, hivi majuzi imemfia ovyo hivyo hivyo amepambana imekaa km 90k ila hakuna kitu mwishowe kaitupa.