Mkuu kwa state iliopo software wise kilichobakia ni kuflash. Hivyo angalia mwenyewe. Na huko kuflash kunaweza pia kusikusaidie kama ni tatizo la hardware.ahaa kwahyo huenda kuflash kukasaidia,hawawezi wakaiua kabisa kwel!!
Kwa dodoma sijui ila inawezekana wana collection point ya kukusanya simu na kuzituma Dar kwa marekebisho. Huwa hata Arusha kuna baadhi ya matatizo wanazituma Dar zinakaa kama wiki 2 zinarudishwa.asante kiongozi kwa hapa dodoma wana ofisi kweli??au hadi nikirudi dsm kariakoo kule
ahaa ngoja nijaribu kuwapigia kuwauliza nimepata mawasiliano yaoKwa dodoma sijui ila inawezekana wana collection point ya kukusanya simu na kuzituma Dar kwa marekebisho. Huwa hata Arusha kuna baadhi ya matatizo wanazituma Dar zinakaa kama wiki 2 zinarudishwa.
From JF App
shukrani mkuu ngoja nifanye taratibuMkuu kwa state iliopo software wise kilichobakia ni kuflash. Hivyo angalia mwenyewe. Na huko kuflash kunaweza pia kusikusaidie kama ni tatizo la hardware.
Na simu za zamani unaweza kuta tu battery limelegea ukiliwekea kikaratasi kwa nyuma ikafanya kazi.
Na kwa Tecno ikishatokea hivyo ikapona kabisa mshukuru Sana mungu wako huwa hata ikipona ipo siku ugonjwa utarudi na kiufupi ndio kifo Cha simu hiyo kinakuwa kishafikahahaha huenda hawa tecno ndo mchezo wao
Ulitakiwa ufanye hard reset ingewakaHabari ya muda huu viongozi.
Kuna hii simu hapa ni TECNO C7 hii simu niko nayo muda mrefu tangu mwaka 2017 sijawahi kupeleka kwa fundi na haijawahi kunisumbua
Sasa juzi hapa nilikua na peruzi humu jf kupitia app ghafla ikaganda ikawa haifanyi chochote.
ikanibidi nijaribu kuizima napo ikawa haizimiki basi nikachukua uamuzi wa kutoa battery halafu niirudishe
baada ya kurudisha battery ikawa inawaka lakini inaishia kwenye logo halafu haiendelei.
Nikaipeleka kwa jamaa fulani basi akaukorokochoa ila hakuifungua basi ndo akaizima kabisa kwa sasa haiwaki wala moto haionyeshi kama inapeleka..
naomba mafundi mnambie kama inaweza kupona nikaitumia tena..
Location: Dodoma
Yaani pale ilipokuwa ikiwaka na kuonesha logo, nilishawahi kuletewa Tecno ina tatizo hilo nikaifanyia ikawaka. Hiyo ilipofikia ipeleke Carl caredahh aisee sikutambua hilo
Wapigie simu wana namba zao, watakutajiagharama zao zikoje kwa sim ambayo warranty imeshaisha na hata risiti sina
asante kiogozi .Wapigie simu wana namba zao, watakutajia
Hiyo s2 kama una apps zisizo na msingi zifute. Kama lazima uwe na fb tumia fb lite, usiwe na videos nyingi wala pichaasante kiogozi .
halafu ha hapa nimechukua haka ka tecno s2 natumia wakati nasubir kutengeneza hiyo simu .
aisee ni nzito balaa unaweza kufungua app ya wasap ikaganda kama sekunde 30 ndo inafunguka halafu notification zinachelewa sana
unaweza kuta messages za jana zinaingia leo na mtandao upo vizur tu sasa tatizo nin
SIMU imemezia hard reset anafanyaje mkuu!Ulitakiwa ufanye hard reset ingewaka