Kitu kinachoitwa sikukuu ni phenomenon ni kitu cha kufikirika.. Mind created unseen object. Hivyo kwenye swali lako labda ungeuliza Sikuu ya mwaka mpya ni ya nini
Kwenye muendelezo wa mjadala nikaandika reply yangu na kwa mtazamo wako ukadhani nimekudhihaki hivyo ukajitetea halafu ukatoa maelezo yaliyonyooka!
Kwa mtazamo wangu hukupaswa kujitetea kuhusu afya yako ya akili kwakuwa ulikuwa sahihi