Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Mlevi mbwa mmoja siku moja aliwastaabisha watu pale alipopelekewa pombe aina zote unazojua ww. Kila pombe alipewa robo kwenye glas na kuweza kutambua. Walipoona wanakaribia kumshindwa, mdau mmoja akaweka maji kwenye glasi na kumpa. Jamaa alionja na kusikilizia lakini hakujua ni pombe gani. Akaomba kuongezwa akachemka tena na kusema, 'kiukweli hii sijawahi kuinywa!'