Hii si sawa........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii si sawa........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee, Apr 19, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Huu mfumo serikali wanaotumia kugawa mikopo ktk vyuo vikuu umejaa siasa sana.
  napenda nizungumzie kwa upande wa sayansi. Serikali kwa kupitia bodi ya mikopo wameamua kutoa mkopo kwa asilimia mia (100%) kwa upande wa sayansi hii inaonyesha kuwa pengine wana value sayansi zaid au ni mpango wa kuwahamasisha vijana kujiunga na sayansi zaidi. Je wamewaandaa vijana wa kuja kuwapa hiyo 100%, shule hazna waalimu wa sayansi, maabara hakuna nani wa kupewa hiyo100%??????.
  Kwanini wasianzishe changamoto from lower level????.. Kama kwa upande wa vyuo vikuu wanapewa 00% hizi leo nyingine wanapewa nini???????. Huu usanii mtupu wa serikali yetu.
  HADI SASA SIELEWI DHAMIRA YAO. NAOMABA WANA JF MNISAIDIE,

  thnx
   
Loading...