Hii si ni aibu jamani?!!!
Hii si ni aibu jamani?!!!
Maengo
JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
280
Reaction score
29
Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!
My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo!
source: chanel ten-habari
ndo tushapewa sasa....turudishe?...
sijui sa hvi zamu ya nani kuzichukua hzo..................huh
Cha kupewa hakina nyongeza, Je ulitegemea tupewe nyingi zaidi?
Msishangae hizo zimepatikana baada ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na JK kwenda Japan kuomba msaada!!!
Unatumia bilion 1 kwenda kuomba na wewe unapewa 0.7bn!!!
Msishangae hizo zimepatikana baada ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na JK kwenda Japan kuomba msaada!!!
Unatumia bilion 1 kwenda kuomba na wewe unapewa 0.7bn!!!
Yaani u r genius!!!
wakaongezee bodi ya mkopo maana watoto wamekosa mkopo fedha haztosh
Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!
My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo!
source: chanel ten-habari
Sisi wenyewe tushawapa Wajapan msaada wa maafa mdogo kuliko huo. Au umesahau?
Sisi wenyewe tushawapa Wajapan msaada wa maafa mdogo kuliko huo. Au umesahau?
Sasa wewe huoni kama ni aibu kupokea msaada kutoka kwa watu waliopatwa na maafa? Kutembeza bakuli imekuwa ndio National trade mark yenu ndio maana hata mkihongwa suti hamuoni aibu!
hıvı hıı ınshu ya Brıgedıa ılııshıa wapı?
ndo imetoka hiyo mjomba, labda tutisikia tena kwenye kampeni za dr. 2015!
My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo!
source: chanel ten-habari
Hapa hata thumni inapokelewa tu ili mradi nchi isonge mbele
Back
Top Bottom