Hii si kausha damu hii?

Hukujua riba zao kabla ya kukopa? Vigezo na masharti yao ulikubaliana navyo?

Huna namna. Wamekulamba, na inakubidi kulipa.

Wamekupa kabisa mwezi mzima.
Too much. Pia waache kupromote mikopo yao kwenye akaunti za watu. Kwa namna wanavyokuambia kuwa kiwango chako cha mkopo ni hiki, waweke na riba yake kwa % wakiambatanisha na jumbe zao. Zaidi ya hapo ni wezi tu
 
Mbaya zaidi hata ukitaka kuwapigia kupitia customer care huwezi kuwapata. Wankupa maelezo weee hadi unaishia njiani.
Kwa anayejua kuwapigia voda unatumia namba gani?
 
Mbaya zaidi hata ukitaka kuwapigia kupitia customer care huwezi kuwapata. Wankupa maelezo weee hadi unaishia njiani.
Kwa anayejua kuwapigia voda unatumia namba gani?
kuongea nao wapigie kuanzia sambili asubuhi mpaka saa nane hivi wanapokea bila shida kabisa kwa namba ya 100
 
Tatizo wabongo hamjui madhara ya muda. Time is money... hapo huo mwezi mzima angezungusha unafikiri angeingiza shingapi?
 
kuongea nao wapigie kuanzia sambili asubuhi mpaka saa nane hivi wanapokea bila shida kabisa kwa namba ya 100
Ah! Utapewa maelezo.hadi uchoke. Kile kipengele cha "kuongea na mshauri wetu bonyeza..." Hicho kipande hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…