Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

nadhani shida umemchoka mkeo ila kama upendo upo wa juu huwezi kuchoshwa kushiriki nae tendo la ndoa... pia mpendezeshe mkeo awe sexy haswaa...ingekuwa we ni mwanamke nisingeshangaa malalamiko haya maana ningesema labda maumbile ya mumeo ni makubwa unapata maumivu ila mwanaume unaathirika vipi kushiriki tendo hilo na mkeo wa ndoa hadi ukonde. weka mazingira mazuri na mkeo yaani awe mkeo, mtani wako pia, hapo hutochoka kabisa kumuhudumia mkeo
 
Toa fursa nikusaidie usiku saa moja tu akirudi kwako hakusumbui tena itakuwa mara moja kwa mwezi na utanenepa pia mateso kwishineye
 
Hiyo ni dalili tosha kuwa hausimamii ukucha inavyotakiwa. Maana ungekuwa unasimamia inavyopaswa angekaa mbali na wewe hata wiki nzima akisikilizia. Wengine kila siku tunagombana na wanawake zetu kisa hawataki kutoa papuchi nawewe unalialia hapa. Kweli hivi vyakula vya kula kwa uma na toothpick zinaangamiza kizazi. Una miaka mingapi kwanza mkuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mlio kwenye ndoa mna furahisha
Juzi kuna mwenzako alituambia kupata mgegedo adi amzimishe mkewe na aka muacha

Alaf wewe unapewa mgegedo kila sikuu, na wewe una lalamika

Mi nabaki kuwacheki tuu
 
Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
Nijue kwanza unaishi mkoa gani..
 
Mwanaume wa Dar huyo!
Mkuu kazi kweli kweli kukuta mwanaume analia mtandaoni eti unyumba umemshinda wakati babu zake walikuwa na wake wanne na kila siku anampa dozi mke mmoja mpk kei zao zinaota sugu....Aisee kula dona jamaa ndoa inaelekea kukushinda
 
Dah eti ndo mwanaume kweli ww, mm ninge mpata uyo mbona godoro linge isha mm kupata iyo kitu unakuta nime kuna mpaka nazi siku iyo ndo napewa mpaka bao la tatu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji111] unaanzaje kukaa kwenye KIBAO cha nazi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji36] [emoji36] [emoji36] nimecheka saana
 
Mkuu kazi kweli kweli kukuta mwanaume analia mtandaoni eti unyumba umemshinda wakati babu zake walikuwa na wake wanne na kila siku anampa dozi mke mmoja mpk kei zao zinaota sugu....Aisee kula dona jamaa ndoa inaelekea kukushinda
Mwenziwe huku sipewi mpaka nibake, ati yeye kaja hapa na kulalama dume zimaa. Anipe mkewe tubakane tu hakuna namna nyengine.
 
Ndo maana munaambiwa musioe musiowaweza na musiolewe na musiowaweza
 
Subiri kufanyiwa tu sasa maana umezidiwa nguvu,tafuta kikongwe
 
We endelea kulalamika tu UTAPIGIWA
 
Back
Top Bottom