Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
unakataa bahati?
 
Mimi nakushauri ukubali tukusaidie. Mwambie asione sooo! kizuri unakula na ndugu yako wa jf.
 
Dah eti ndo mwanaume kweli ww, mm ninge mpata uyo mbona godoro linge isha mm kupata iyo kitu unakuta nime kuna mpaka nazi siku iyo ndo napewa mpaka bao la tatu
Avatar nyingine ni matatizo.
 
Sasa we hutaki kumpa haki mwenzio! Au una mwingine unaemfaidisha?

Mwenzako anabakwa daily, kitu ambacho wanaume wengi wangetamani kukipata yeye anaishia kulialia tu hapa JF. Nadhani ni mtoto na huwenda anaigiza tu humu anaweza akawa hata mke hana.
 
Mpeni kitchen party mwenzenu
 
Mpeni kitchen party mwenzenu

Sina hakika kama ni mtu mzima na mwenye akili timamu, huyo anaweza akawa ni mvulana tu na wala mke hana so need of wasting our time sijui ya kumpa kitchen party nk.

After all mwanaume ama mwanamke yeyote analete mambo ya faragha humu jukwaani tena ya kawaida kabisa ndani ya ndoa yake, binafsi huwa simuelewi kama kweli zinamtosha kabisa. Mostly huwa naishia kuhisi wengine especially wale wanatoa kasoro za wenza wao huku wao wakijisifia huwa nahisi ni matangazo ya biashara tu. Mfano mwanamke anasema mume wake hamtoshelezi, it means that anatafuta mtu mbadala wa kumtosheleza na the same na wanaume. Sasa huyu wa leo nahisi sio tangazo bali ni utoto tu na huwenda hana mke kabisa, na kama anaye basi anaweza akawa na matatizo makubwa ya kiafya.

Hiyo kesi anayoisema ingeletwa na mwanamke akilalamika kuwa mume wake anataka tendo la ndoa daily wala nisingeshangaa, hiyo ipo. Na wanaume wengi asilia wapo hivyo, sema wanakuwa regulated na wake zao, maana utaomba leo utanyimwa, kesho unaweza pewa na kesho kutwa ukanyimwa nk, so mwisho wa siku unazoe hata ukipata twice a week no problem na maisha yanasonga.
 
Piga kazi mkuu, acha lawama so mnataka muangaliane tu. Kwani huyo dadako. Hakika penye miti hapana wajenzi.
 
Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
Wanaume wanaendelea kuisha zinabaki ndevu tu, hivi mambo ya ndani yanakushinda unaleta huku!
 
Sina hakika kama ni mtu mzima na mwenye akili timamu, huyo anaweza akawa ni mvulana tu na wala mke hana so need of wasting our time sijui ya kumpa kitchen party nk.

After all mwanaume ama mwanamke yeyote analete mambo ya faragha humu jukwaani tena ya kawaida kabisa ndani ya ndoa yake, binafsi huwa simuelewi kama kweli zinamtosha kabisa. Mostly huwa naishia kuhisi wengine especially wale wanatoa kasoro za wenza wao huku wao wakijisifia huwa nahisi ni matangazo ya biashara tu. Mfano mwanamke anasema mume wake hamtoshelezi, it means that anatafuta mtu mbadala wa kumtosheleza na the same na wanaume. Sasa huyu wa leo nahisi sio tangazo bali ni utoto tu na huwenda hana mke kabisa, na kama anaye basi anaweza akawa na matatizo makubwa ya kiafya.

Hiyo kesi anayoisema ingeletwa na mwanamke akilalamika kuwa mume wake anataka tendo la ndoa daily wala nisingeshangaa, hiyo ipo. Na wanaume wengi asilia wapo hivyo, sema wanakuwa regulated na wake zao, maana utaomba leo utanyimwa, kesho unaweza pewa na kesho kutwa ukanyimwa nk, so mwisho wa siku unazoe hata ukipata twice a week no problem na maisha yanasonga.
Nadhani amekuelewa....

Ila kifupi watu wameigeuza MMU
 
Sasa we hutaki kumpa haki mwenzio! Au una mwingine unaemfaidisha?
Hapo ndo ananipa wasiwasi huyu jamaa!! Anyway, yamekukuta...jitutumue siku moja hadi asikie ya moto then mwambie unataka supu ya ng'ombe au kuku kila siku asubuhi...kama hamna basi hata uji wa ulezi utapapenda mbona.
 
Au anataka asaidiwe kazi huyu
 
mlete hpa mwananyamara ntampunguzaa nyege mkito, hakusumbui tena ukifika hapa, ulizia Dr Mkito, umsindikize ila ukifika hosptali ishia nje we mwache aingie peke yake, ndani ndani ya lisaa limoja ntakuwa nimezinyonya zimekwisha na dozi itakuwa kira baada ya wiki mbiri unamleta hapa hapa husbadilishe Dr, mwache kwangu DR mkito
 
Back
Top Bottom