miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Usisimamishe tu
Usisimamishe tu
Sawa mkuuDuh mbona unamuombea mabaya mtoto wa mwanamke mwenzako namna hiyo, usifanye hivyo maisha ni mzunguko huwezi jua unaweza shangaa siku moja unakutana naye huyo huyo na ukatamani huduma toka kwake kumbe basi ni bora kumuombea kinyume chake ili hata kama ikatokea basi nawe ufurahie uumbaji wa Mungu toka kwake.
Sawa mkuu
Thanks mkuuI like you level of understanding
Usisimamishe tu
Kazidiwa aiseeHahaha..
Sasa Alioa wanini kama hataki kumto_mba..??
Bila shaka kuna hitilafu pahali..
Bora umesema mi sisemi tenaSasa we hutaki kumpa haki mwenzio! Au una mwingine unaemfaidisha?
moniccca wa kiumeKwa hiyo unabakwa
Shangilia na ufurahi maana hao wa hivyo si wengi kabisa.Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
Hawa ndiyo wanaosababisha wanaume wa dar es salaam tuonekane hovyoHeshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anarembea show huyu jamaa atakuwa wa mkoani tuu.....Khaaa, unapewa show unaremba ?? Ngoja waje wapewe ma tinga tinga wamtindue uone kama atakukumbuka tena.
Heb ni pm dial yake huyo mkeo. Tehe
Wewe kweli huna maana kabisa,mwanaume si suruali,piga hiyo kitu mpaka iwake moto, acha uvivu,unataka unenepe wewe ni kiti moto?, mamaye wallah.Heshima zenu wakuu!