Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Huu mpaka wa Gaza na Misri uliijengwa na Israel?
 

Attachments

  • Screenshot_20261026-123335.png
    1 MB · Views: 2
Huu mpaka wa Gaza na Misri uliijengwa na Israel?
Israel ilitaka Palestinians waingie Egypt, Gaza yote iende Egypt , Gaza iwe empty, na wqngeenda Egypt, Israel ingeweka ulinzi mpakani wasirudi tena Gaza...

Ilikuwa nia ovu ya Israel kuikamata na kuimiliki Gaza, na two state solution isingepatikana...

Na ambacho hufahamu viongozi wa Hamas waliona kama Egypt imesaidia kutohamisha watu waingie Egypt...

Hilo lilionekana kama Nakba iliyotokea 1948, baada ya Wapalestina kama 800,000... kuhama makazi yao, ilikuwa ni nusu ya population yote ya Wapalestina, walihama na kuacha eneo ambapo leo ndio Israel....

Hivyo kuhama kwa watu wa Gaza ilikuwa ni kama Nakba ya pili...
 
ch0k0 wewe unaetembea na chupi ina mavi
Wakati baba yako analawitiwa na mapadri wa kikatoliki shuleni kabla hujazaliwa, huyu ndio alikuwa Kenya Army Chief punga wewe

View attachment 3699066
Wakati huyo mzee wenu alikuwa Kenya kujenga nchi ya Wakikuyu sisi Baba yetu wa Taifa alikuwa bize kujenga Tanganyika Ambayo ndio tunawafuga kama nguruwe.


Mnajenga nchi za wengine mnaacha kwenu 😆😆
 

Attachments

  • IMG_37d2be83-5f1d-4495-9602-5526e5521e44.webp
    38.2 KB · Views: 2
Israel syndrome inawasumbua


Vipi kuhusu nchi za middle east kutochukua wakimbizi wa Palestinan licha ni Waislam wenzao ?
 

Attachments

  • Screenshot_20261026-174238.png
    1 MB · Views: 3
Yaani hilo jibu lake kajimaliza kabisa 🤣.

Mtu kama siyo ndugu yako unashindwa nini kukana kwa nguvu zako zote?
Huko ni watundu sana. Ukute wadau walishapima DNA zao na kukuta ni ndugu kweli hivyo wanachokonoa wapate pa kuanzia. Huenda ana hisi hivyo ndo maana anatoa majibu ya njia panda.
 
Nchi za ulaya zimeingiliwa na hawa watu. Ona Ufaransa wanavyosumbua
Upo Nyalugusu unawaonea huruma wafaransa ajabu unakutana na mfaransa mwenyewe wala hawazi hivo unavowaza, tembea bro utowe tongotongo au miwani ya mbao.
 
Wakati huyo mzee wenu alikuwa Kenya kujenga nchi ya Wakikuyu sisi Baba yetu wa Taifa alikuwa bize kujenga Tanganyika Ambayo ndio tunawafuga kama nguruwe.


Mnajenga nchi za wengine mnaacha kwenu 😆😆
Sikia wewe mbung'o
Inaonekana huna kazi ya kufanya, nenda katafute vilaza wenzako mjadili huu upumbavu wako
kafe mbele huko sina muda mchafu
 
Hata jamii forum ni ya Mtanzania unaemuita Nyani


Nenda kwenye mtandao ya kijamii ya Wasomalia wenzako



Kenge
Unatia huruma
Hii posti ya mwisho kukwambia wewe ni masikini
Wengine tunaingia humu tukichoka kusikiliza meetings kazini, wakati wewe masikini unashinda humu
Haya kalia dole hilo
 
Unatia huruma
Hii posti ya mwisho kukwambia wewe ni masikini
Wengine tunaingia humu tukichoka kusikiliza meetings kazini, wakati wewe masikini unashinda humu
Haya kalia dole hilo
Who cares ?

Sasa namiliki shamba na ngombe Niko zangu kijijini namtumbo unataka nifanye kazi Gani.


Wewe ulieko ugenini ndio inabidi ufanye kazi Kwa bidii Ili siku tukiwafukuza mrudi kwenu somalia mpate mitaji ya kianza kuuana Mogadishu kama nguruwe


Rudi kwenu kafix nchi yenu sio mnakuwa ugenini mnatupangia namna ya kuishi pumbavu!
 
Unatia huruma kinyonge
 
Kwa kawaida wasomali huzingua sana , mara ugaidi mara ndoa za wandugu na kadhalika.

Mtoto mzuri namna hiyo anapata shida. Lakini pengine alifanyiwa forced marriage yaani kulazimishwa au kushawishiwa.

Na si hao tu wapo wengi wa mataifa mengine.

Hizi nchi za watu watakiwa kuwa makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…