Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar.

Yaani hilo jibu lake kajimaliza kabisa 🤣.

Mtu kama siyo ndugu yako unashindwa nini kukana kwa nguvu zako zote?

Sisi Tumelaaniwa. Yale mambo ambayo huwa tunawasema Makafir ndo tunayafanya. Huu ni Ushetwan au labda wanamsingizia tu sababu ya wivu na Islamaphobia. Sidhani kama anaweza olewa na kaka yake. Sidhani
 
Sisi Tumelaaniwa. Yale mambo ambayo huwa tunawasema Makafir ndo tunayafanya. Huu ni Ushetwan au labda wanamsingizia tu sababu ya wivu na Islamaphobia. Sidhani kama anaweza olewa na kaka yake. Sidhani
Hilo swala la kuolewa na kaka yake halipo kabisa,dini hairuhusu hata mume kuoa dada wawili kwa wakati mmoja haitakiwi

Kama hiyo ndoa imefanyika basi ni kwa ajili ya kupata makaratasi,na ni kosa vile vile
 
Kama "walioana" kwa maana tu ya kum-support huyo brother wake, japo ni kosa, lakini ni kosa lenye unafuu! Mbaya ni kama walikuwa wana-cohabit! Loh!
 
Hilo swala la kuolewa na kaka yake halipo kabisa,dini hairuhusu hata mume kuoa dada wawili kwa wakati mmoja haitakiwi

Kama hiyo ndoa imefanyika basi ni kwa ajili ya kupata makaratasi,na ni kosa vile vile
Inasemekana walikuwa wanashiriki tendo. DNA itaonesha kila kitu.
 
Kwa akili ya kawaida hapo anatafuta makaratasi tu,lakini hakutakuwa na ndoa kama ndoa

Hili nalo lahitaji mjadala?
Kwanini afanye hivyo? Kwanini asingefuata taratibu sahihi? Mtu wa aina hiyo ni wa kuaminika hususan katika uongozi wa nchi?
 
Umbu lake kabisa.Sasa,USA (DOJ)ikikomaa na "GOD BLESS AMERICA" kwa kufuata mafundisho ya biblia,huyo bibie atapona kweli?
Her father's/mother's brother kabisa! Wasomali hapo Indianapolis wamejazana wa kutosha, sijui alishindwaje kumtafutia kaka yake mtu sahihi wa kudanganyia badala ya "kujitoa" mwenyewe.
 
ila kutakuwa na skitu cha siri Ilham amefanya agaings America,hiii ya kuuona na kaka yake ni justifiable reason tu,ila kuna kitu zaidi ya tunachoambiwa,na hawamuachi,analeta harakati kwenye chi za watu...
 
Waweke Sheria ya kuwaingiza chumba kimoja uchi Siku 7 watu wanaodai ni wanandoa na kulishwa kidonge nusu cha Viagra Kila siku ..Tuone kama watu hawatatomba ndugu zao kisa makaratasi
 
Ila Somalis nawasifu kwa guts na roho ngumu.
Jamaa kwa pesa za welfare fraud Minnnesota wamejijenga sana kiuchumi hapo Eastghl Nairobi. wana investment za kufa Mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…