HII SERIKALI NI NGUMU SANA .................

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Bi harusi mpya siku ya kwanza anapewa lecture na Mama Mkwe wake,Sheria Na katiba za Nyumbani.
Mama Mkwe anasema mimi ndio Waziri mkuu wa nyumba hii. Baba Mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako nae ni Waziri wa kuezesha Maendeleo, Mikakati na Desturi za Nyumba hii. Mume wako nae ni Waziri wa usalama na kuongeza idadi ya familia hii..Je wewe Mkwe ungependelea kuwa Waziri wa Wizara gani???..Yule Bi harusi akatabasamu ki ujeuri,na kujibu kwa haraka mpenzi mama Mkwe mie nitakua kiongozi mkuu wa upinzani!!!!!!!mama Mkwe hoiiii....:D:D:D
 
Bila shaka we utakuwa mwalimu wa art anaesubiri ajira, kuna mwenzio anasema ameonana na mandela leo sijui mnakunywa pombe gani.
 
Back
Top Bottom